shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Tangu umekaa naye, hujajua anapenda nini na nini hapendiSasa mkwe hizo ndo panicking zenyewe hzo
Sasa ana ruhusu hasira ztawale
Tangu umekaa naye, hujajua anapenda nini na nini hapendiSasa mkwe hizo ndo panicking zenyewe hzo
Sasa ana ruhusu hasira ztawale
Vp kama video yenyewe ipo kwenye memory ya simu?Mi huwa naenda you tube nashare video kisha naileta hapa
Hapo namkimbia mkongo...Wewe eb ntafsirie bas
Umijifanya zuzu eeh???Safi mkwe kuna shda kdogo mwanao anapanick sana baba
Sjui nn ttzo kwa kweli
AaaahTangu umekaa naye, hujajua anapenda nini na nini hapendi
HahahaUmijifanya zuzu eeh???
Kama unamuelewa ni vizuri, nachojua mimi yeye hana matatizo kabisaAaaah
Sasa mzee una unguza nyumba tna
Mbona mi namulewaga sana tuu
HahahaaTuma piemu
Ludi, nimitaka nikuone u uch 7bu ya vyura fcHapo namkimbia mkongo...
Ahsante mkuuNUKUU NO 2#
Nchi zetu hazina budi kuangalia kuwa bahari ya hindi haiwi mahari pa migogoro baina ya mataifa ;ila iwe na amani ili kuzidisha biashara na ushilikiano wa kibiashara Kati ya India na Zanzibar ulioanza zamani sana na lazima ufufuliwe.
Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa India, Varahagiri Venkate Giri, wakati wa karamu rasmi aliyoandaliwa na aliyekuwa mwenyeji wake,Rais wa Zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais, Aboud Jumbe, Zanzibar Nov 14,1972. Varahagiri Venkate Giri alizaliwa Agosti 10,1894 na kufariki Dunia Juni 23,1980.
Alikuwa Rais wa nne wa jamhuri ya India kuanzia Agosti 24 1969 hadi Agosti 24, 1974
UmibofoaHahaha
Mkuuu leo had wewe umenigeuka!!?

Pamoja sanaAhsante mkuu
Mambo brizKijana jirani anakuzuzua nini hapo pembeni?![]()
Poa shululu, asante kwa nukuu. Kwema?Mambo briz
Asante mkuu, kwema kabisa, vp IringaPoa shululu, asante kwa nukuu. Kwema?