Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,416
- 40,390
Shululu awe mwenyekiti mie mwekahazinaHahaha...tuko wengi sasa, Mimi, wewe, Jimena na Shululu.
Tuchague mwenyekiti na katibu.
Nakala kwa:
Jimena
shululu
Sweetiepie

Shululu awe mwenyekiti mie mwekahazinaHahaha...tuko wengi sasa, Mimi, wewe, Jimena na Shululu.
Tuchague mwenyekiti na katibu.
Nakala kwa:
Jimena
shululu
Sweetiepie

na shululuKweli kabisa kwenye hii timu tupo watatu, mimi, wewe na Mussolin5
hahaha...tit for tat.Kupigilia msumari wa usemacho, weka picha![]()
Sio kila siku ni Ijumaa.Paul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana
Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki
Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid
Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili
Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani
Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwahiyo ajiongeze au?Kabla sijasahau jamani, mkimuona briz mumfikishie salamu kuwa hii avatar yake ya sasa ni nzuri sana
Na mumtaarifu ya kuwa JJ ameipenda sana hiyo avatar
Japo nice nae Siku hizi kapoteza muelekeoNdio, Mr Nice, Q chila, Diamond na wengine kibao
Hayuko serious huyu...
Cool down...Cool down mamaaa!Uliza tu na ntakuelewesha vizuri kabisa
Weka pichaSja uona
Ngoja nrud kdogo
Wa taarab!!?
![]()
![]()
Isje ikawa nasutwa
Heee mweka hazina hujichagui, mpk tukuchague.Shululu awe mwenyekiti mie mwekahazina![]()
Waswahili wanasema dawa ya moto ni moto
Mwenyekiti wa weka picha ni wewe Mussolin 5.Hahaha...tuko wengi sasa, Mimi, wewe, Jimena na Shululu.
Tuchague mwenyekiti na katibu.
Nakala kwa:
Jimena
shululu
Sweetiepie

Mwenzio kamaliza vikorombwezo vyote wewe unasema hayupo serious!!!Hayuko serious huyu...
Naisubiria hapa...Nukuu ya leo itawajia hivi punde
Mbona hivyo lakini...amezidisha hata kama ni make up! maana hadi nimecheka sana ndo dem wako nini huyo?Mwenzio kamaliza vikorombwezo vyote wewe unasema hayupo serious!!!
