Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kumb nae ni timu weka picha??Cc sweetiepie
Kumb nae ni timu weka picha??Cc sweetiepie
Kupigilia msumari wa usemacho, weka picha[emoji126]Kweli kabisa kwenye hii timu tupo watatu, mimi, wewe na Mussolin5
Only for cuzzoHivi moyo huwa unarudi nyuma
Nani sasa??Mwache ayajenge kwanza
[emoji106]Nani sasa??
Kupigilia msumari wa usemacho, weka picha[emoji126]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziPaul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana
Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki
Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid
Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili
Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani
Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madogo walio kataliwa wana kismati kishenzi!!! Hivi umewahi kufatilia?[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Woorah!!!....tisha sana Jay jay
Ndio, Mr Nice, Q chila, Diamond na wengine kibaoMadogo walio kataliwa wana kismati kishenzi!!! Hivi umewahi kufatilia?
Sa binamu kaingiaje hapo?
Weka pichaWoorah!!!....tisha sana Jay jay
Weka picha
Huyo ndio wifi[emoji15] [emoji15] [emoji15]