Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Ndo maana imekuja thanks bila comment yyteUtanishukuru ukishausikiliza
Ndo maana imekuja thanks bila comment yyteUtanishukuru ukishausikiliza
Sawa nausubiriaSasa
Ujue baadaye ntakupa na mie wimbo ambao uwa na u feel sku zote
Njema tu habari ya wewe??habar za hapa wakuu
Sawa!Cc sweetiepie
Mutu ya Congo DRC...Nani sasa??
CR7 mama alitaka kuitoa mimba, kwa ushauri wa Dr hakuitoa, leo hii haamini kama mwanae ni angekuwa hivi alivyoPaul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana
Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki
Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid
Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili
Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani
Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Vipi hali ya hewa ya mahali ulipo?nko poa sana jimema
Faida za uvumilivuCR7 mama alitaka kuitoa mimba, kwa ushauri wa Dr hakuitoa, leo hii haamini kama mwanae ni angekuwa hivi alivyo

BwahahahaYule ni mkongwe flani hivi ambae haishi kuja kuniulizia hapa

Vipi hali ya hewa ya mahali ulipo?
Hayajaharibika, hata kiberiti huwa kinatikiswa kupima wingi wa njitiNimiona mkuu mambo yana niharibikia