Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,616
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heee mweka hazina hujichagui, mpk tukuchague.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heee mweka hazina hujichagui, mpk tukuchague.
....ni maji jaribu utasema ndioWaswahili wanasema dawa ya moto ni moto
Mmmh!....unasemaaaaa!!![emoji15] [emoji134]Mbona hivyo lakini...amezidisha hata kama ni make up! maana hadi nimecheka sana ndo dem wako nini huyo?[emoji85]
Nimeuliza tuMmmh!....unasemaaaaa!!![emoji15] [emoji134]
Siku hizi haki ipo kweli...nawazaNUKUU NO 1#
Nikitofautisha haki-jamii (social justice) na haki-sheria (legal justice)
Haki-sheria maana yake ni kila mtu ana haki sawa mbele ya sheria
Huu ni msingi wa mfumo wa kibwanyenye.
Sheria haijari wewe ni nani - masikini au tajiri _ wote mna haki sawa. Kwa mfano, haki ya kuishi.
Lakini hali halisi usawa huo ni wa kinadhalia tu,kwa sababu masikini na tajiri, kwa vyovyote vile sio sawa. Haki-sheria haiangalii hali halisi, haijali tofauti za kijamii na za kiuchumi Kati ya mtu na mtu. Kwa sababu kinacholinganishwa katika dhana hii sio ubinadamu bali ni haki
Haya yalisemwa na Profesa maarufu Issa Shivji kutoka katika mada alioiwakilisha kwenye kongamano la kuadhimisha miaka 15 ya kumbukumbu za Mwalimu Nyerere, October 17,2014.
Kongamano liliandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF)
Sio my luv wanguNimeuliza tu
[emoji125]Sio my luv wangu
Where to???[emoji125]
Wengine wanabatiza wenzao kwa ubatizo wa motoWaswahili wanasema dawa ya moto ni moto
[emoji15] sweetiepie!!! [emoji120]Nukuu ya leo imeletwa kwenu kwa hisani ya sweetiepie, tangu asubuhi yupo KF
Ngoja tu likizo iishe ntaisoma # [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji126]Nukuu ya leo imeletwa kwenu kwa hisani ya sweetiepie, tangu asubuhi yupo KF
Tangu lini [emoji85] [emoji85] [emoji85]Sio my luv wangu
Ndio aiseeWengine wanabatiza wenzao kwa ubatizo wa moto
Mazoezi tu hayo...just nowhereWhere to???
Uminielewa Kwei???Tangu lini [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Cool down...Cool down mamaaa!
Ngoja nimuundie tumeHeee mweka hazina hujichagui, mpk tukuchague.