Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Unaniacha na nan mam!!?Nimeshakusanya mizigo yangu yote naweza kuondoka anytime from now
Unaniacha na nan mam!!?Nimeshakusanya mizigo yangu yote naweza kuondoka anytime from now
Nimekuachia nafasi ili ukayajenge PMUnaniacha na nan mam!!?
Labda kwa wizi wa kuraPaul pogba
Alitelekezwa na baba yake akiwa na miaka 6 akalelewa na mama yake leo hii kauzwa kwa pesa nyingi Sana
Diamond platnumz
Alikanwa na baba yake mzazi leo hii anavuna pesa nyingi Sana kupitia mziki
Zinedine zidane zizu
Alikuwa mbumbu darasani leo hii ni kocha wa real Madrid
Ronaldo de Lima
Amekulia ktk famila ya walima matikiti leo hii anamiliki shule ya mpira wa miguu huko brazili
Sio hao tu hata hawa jamaa
Vincent kampany,Luis Suarez, Lionel messi, ronadinho na watu wengine maarufu duniani
Mimi pia najiandaa kumtelekeza mwanangu pindi afikishapo miaka 4 tu huenda akawa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimiona mkuu mambo yana niharibikiaUmiona!!!
Duuuh!!!
Uliza tu na ntakuelewesha vizuri kabisaKhaaaa!!!
Sja elewa
AaahUliza tu na ntakuelewesha vizuri kabisa
Ule wimbo niliokuwekea umeuona???Duuuh!!!
Briz amebadilisha avatar ndio nikasema mkimuona mumpe taarifa ya kuwa nimeipenda avatar yake mpyaAaah
Yaan comments nzima sja zielewa hapo
Duuuh!!!Briz amebadilisha avatar ndio nikasema mkimuona mumpe taarifa ya kuwa nimeipenda avatar yake mpya
Sja uonaUle wimbo niliokuwekea umeuona???
Rudi nyuma kidogo utauona,Yaan my luv nautafuta alaf siuoni
Aaah
Nsha una naomba niusklze baadaye maana hapa nlipo now haiskiizikiRudi nyuma kidogo utauona,
And thanksRudi nyuma kidogo utauona,
[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Nsha una naomba niusklze baadaye maana hapa nlipo now haiskiiziki
Utanishukuru ukishausikilizaAnd thanks
Sasa[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]