Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nilitegemea kuona za Congo hapo...[emoji85]Hahaha Sean Paul, mambo ya Clubbin hayo. Asante [emoji120]
Nilitegemea kuona za Congo hapo...[emoji85]Hahaha Sean Paul, mambo ya Clubbin hayo. Asante [emoji120]
Wasiwasi wako tu..Hayajaharibika, hata kiberiti huwa kinatikiswa kupima wingi wa njiti
Mambo byee kabisahabar za hapa wakuu
Shwari kabisa...karibuhabar za hapa wakuu
Watoto ambao either mama au baba alishauri mimba itolewe, au waliotupwa wana bahati ya mafanikio kinoma.CR7 mama alitaka kuitoa mimba, kwa ushauri wa Dr hakuitoa, leo hii haamini kama mwanae ni angekuwa hivi alivyo
nashukuru sana.Shwari kabisa...karibu
Usijarinashukuru sana.
Mungu huwa anawaona.Watoto ambao either mama au baba alishauri mimba itolewe, au waliotupwa wana bahati ya mafanikio kinoma.
Huu mchezo hauhitaji hasiraHayajaharibika, hata kiberiti huwa kinatikiswa kupima wingi wa njiti
Kumbe mambo unayaweza, muwekee sasaNilitegemea kuona za Congo hapo...[emoji85]
Hahahaha....lazma walimnajisi huyo mbona bado yupo!! aisee nimecheka sana Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu j.pili nashindwa kuweka video sijui imekuaje...?Kumbe mambo unayaweza, muwekee sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha...tuko wengi sasa, Mimi, wewe, Jimena na Shululu.Count me in. Mimi ni timu weka picha