Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji2][emoji2] kuna champion dodoma ya 3 by 3 ndani kuna vumbi ka mnapita barabara ya vumbi afu kuna saibaba la arusha na lenyewe limekua kama daladala linasimama vituoni kusubiri abiria na linapotembea vioo vinajigonga kama mko kwenye tetemeko ni shida
Hayo sio ya kupanda, labda mooooo awakodishie mashabiki wa mnyama akiwa anakipiga
 
Ila yote 9, kali yao ni Ngorika ya kwanza, wenyewe wanaiita Kibiriti.

Inapigwa mpini, vioo vinalia utasema mko kiwanda cha nondo.

Ukifika homu lazma utafute panado.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]
We umeua kabisa [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nimecheka sanaaa
 
Mi nilipanda Nyehunge sina hamu...ndani watu wameshona hadi wanasimama...kuku humo humo wanaruka ruka...mabegi ya juu ya carier yanaangukia watu kila saa gari ikivuka bumps...haya wamama nao wamejichokea wamekalisha ndoo kolido ya gari wamezikalia, mtu begi lako analihararisha kulikalia kama siti yaan taabu tupu...joto ndani hakuna hewa. Sitorudia maana sikujua.
Pole sanaa
Maana hiyo safari ilikuwa ngumu mno
 
Back
Top Bottom