shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Usile uyoga, utakutesa tumbo balaaMkuu nimejikuta nakuwa vegeterian kwa muda mana siamini sana nyama za huku![]()
Usile uyoga, utakutesa tumbo balaaMkuu nimejikuta nakuwa vegeterian kwa muda mana siamini sana nyama za huku![]()
Pole sana, ulipatikana aisee hiyo ni Dar geita au mwanza meatuMi nilipanda Nyehunge sina hamu...ndani watu wameshona hadi wanasimama...kuku humo humo wanaruka ruka...mabegi ya juu ya carier yanaangukia watu kila saa gari ikivuka bumps...haya wamama nao wamejichokea wamekalisha ndoo kolido ya gari wamezikalia, mtu begi lako analihararisha kulikalia kama siti yaan taabu tupu...joto ndani hakuna hewa. Sitorudia maana sikujua.
Mkuu nimejikuta nakuwa vegeterian kwa muda mana siamini sana nyama za huku![]()

Umionaeeh!!!Mchangani wa hapahapa
Duh pole sana, ndo changamoto za usafiri wetu hizo lakin... Umenikumbusha kuna kipindi nlipanda treni ya tazara ile class ya chini ndo ilikua kama hivyoMi nilipanda Nyehunge sina hamu...ndani watu wameshona hadi wanasimama...kuku humo humo wanaruka ruka...mabegi ya juu ya carier yanaangukia watu kila saa gari ikivuka bumps...haya wamama nao wamejichokea wamekalisha ndoo kolido ya gari wamezikalia, mtu begi lako analihararisha kulikalia kama siti yaan taabu tupu...joto ndani hakuna hewa. Sitorudia maana sikujua.
Waapi! hiyo ni Bukoba to Mwanza Buseresere sijui Lunazi kuna vumbi jekundu laana nakumbuka Nilifika nna mafua makali sana ambayo yalinitesa wiki nzima.Pole sana, ulipatikana aisee hiyo ni Dar geita au mwanza meatu
Ni tatizo kwakweliDuh pole sana, ndo changamoto za usafiri wetu hizo lakin... Umenikumbusha kuna kipindi nlipanda treni ya tazara ile class ya chini ndo ilikua kama hivyo
Punguza ukali wa maneno...sema wenyeji wa dom badala ya kutaja kabila mkuuWe acha tu nliwah kupanda kipindi flan unakutana na wagogo wamepanda na kuku kwenye matenga, gari lina shombo kila konani shidahhh
Haha mkuu yalishakutokea?Usile uyoga, utakutesa tumbo balaa
Uyoga mwingine una Sumu.Haha mkuu yalishakutokea?
Niliwahi kupanda mghamba mwanza to arusha kupitia singida, na tulipanda na wazungu, kipindi hicho barabara vumbi tu, wazungu walishukia kateshi, ilikuwa kero sana, vumbi mabegi kuanguka watu wamejazwa kama vibuyu hatari sanaWaapi! hiyo ni Bukoba to Mwanza Buseresere sijui Lunazi kuna vumbi jekundu laana nakumbuka Nilifika nna mafua makali sana ambayo yalinitesa wiki nzima.
Poa mkuu, tena ngoja ni-edit kabisa mana isije ikawa nimegusa hisia za watu humuPunguza ukali wa maneno...sema wenyeji wa dom badala ya kutaja kabila mkuu
Japo ile class ya mwisho ina raha yake pia ina kero yake kwakweli...Duh pole sana, ndo changamoto za usafiri wetu hizo lakin... Umenikumbusha kuna kipindi nlipanda treni ya tazara ile class ya chini ndo ilikua kama hivyo
Dada yetu, msalimie brizJapo ile class ya mwisho ina raha yake pia ina kero yake kwakweli...
Hahaha hatari sana, wazungu waliishiwa poziNiliwahi kupanda mghamba mwanza to arusha kupitia singida, na tulipanda na wazungu, kipindi hicho barabara vumbi tu, wazungu walishukia kateshi, ilikuwa kero sana, vumbi mabegi kuanguka watu wamejazwa kama vibuyu hatari sana
Hahaha wazungu hawawezi kuvumilia shida za namna hiyo nadhani maana hiyo ilitokea pia kwenye basi la Ng'itu ya dar to Mtwara kwenye barabara ya mateso kabla ya kufika Nangurukuru...walikuwa wanasweat hadi huruma Sie wengine tunaona poa tu.Niliwahi kupanda mghamba mwanza to arusha kupitia singida, na tulipanda na wazungu, kipindi hicho barabara vumbi tu, wazungu walishukia kateshi, ilikuwa kero sana, vumbi mabegi kuanguka watu wamejazwa kama vibuyu hatari sana
Sijawah hata kujaribu hiyo mbogaUyoga mwingine una Sumu.
Duh raha yake ni ipi kulinganisha na first class?Japo ile class ya mwisho ina raha yake pia ina kero yake kwakweli...
Briz mi naona twende nikudansie kwa kauli hii ya kaka nahisi ameruhusu...Dada yetu, msalimie briz
