Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hapana chezeaChezea tanga!!
Na akija atajifanya kukanusha
Hapana chezeaChezea tanga!!
Tatizo huyo babu bahili ila moo anamwaga mavumbaSasa zina tofauti gani na Tandahimba Express??
Kuwa na mawe sio tatizo, kwa wenger mawe yapo ila ndio wanasajiliwa kina Takuma
Leo atanyang'anywa kabisa kupewa labda keshooooNa simu imechezewa password
Ngoja tuoneTatizo huyo babu bahili ila moo anamwaga mavumba
Hivi ni mboga ama ndo kama ugali vile?Ni mtamu sanaaa
Nakuhakikishia utaupenda
Hapana sio kitu kinachojitegemea, mi huwa nachanganya kwenye nyama au samaki ( kama navyoweka karoti, Hoho nk) pia huwa naweka vipande kadhaa kama nikijikaangia mayai (spanish omelet)Hivi ni mboga ama ndo kama ugali vile?
Dah na kupikiwa pia? Ewaaa hapa ndo ile sehem navimbaga bichwa sanaHayo maneno sasa, tena ntaupika mwenyeweee


Labda nisiambiwe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unaweza kula na wala usijue
Haha atakavyopotezea hutaaminiHapana chezea
Na akija atajifanya kukanusha
Sasa ndio useme polepole hawachelewi kumtag mtuDah na kupikiwa pia? Ewaaa hapa ndo ile sehem navimbaga bichwa sana![]()
Ndio hivyoLabda nisiambiwe
Kwenye mapishi nako umoo, unanifanya niupende hata kabla sijaulaHapana sio kitu kinachojitegemea, mi huwa nachanganya kwenye nyama au samaki ( kama navyoweka karoti, Hoho nk) pia huwa naweka vipande kadhaa kama nikijikaangia mayai (spanish omelet)
Au naweka pia kwenye soup hasa hasa potato soup
Haha nimekusoma na hivi tim yake ipo itakua shidaSasa ndio useme polepole hawachelewi kumtag mtu

Anasema alikuwa tu om anapataHaha atakavyopotezea hutaamini

Hahahahahaha asanteKwenye mapishi nako umoo, unanifanya niupende hata kabla sijaula
Haha kama ni jirani wa tanga kweli pengine tutamuona kesho hapaAnasema alikuwa tu om anapata![]()
Timu yake ni ile ya kule kwa kina kanda bongo manHaha nimekusoma na hivi tim yake ipo itakua shida![]()

Huo ni ukweli usiopingikaHaha kama ni jirani wa tanga kweli pengine tutamuona kesho hapa
Yupo njemaHahahahahaha asante