Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nipe tofauti kati ya Tahmeed na KimbinyikoMi hii nimepanda na modern Coast nimepanda pia zote Dar mombasa
Bishoo anapenda kula kula, nyama pale morogoro, ruaha mkuu na comfort pale kitonga






ndo mana hataki kupanda fast jetNdiyo sababu hiyondo mana hataki kupanda fast jet
Kimbinyiko sijawahi hata kuona picha yakeNipe tofauti kati ya Tahmeed na Kimbinyiko
Haha kubwa lao ye na newforce damdamNishapanda. Na mpaka zinakopaki hapo Mabibo kwa akina Kubwa lao napajua.
Kula kambale sasa,
Haha mkuu wa kaya katisha kwa hiloTukimaliza kwanza wa chato ndio tutaangalia na vingine
Kesho Jumatatu.
Hapo kazi ipo sasaTukimaliza kwanza wa chato ndio tutaangalia na vingine
Mombasa unapajua vizuri? Napo kutatufaa sana kwa utalii wa ndaniMi hii nimepanda na modern Coast nimepanda pia zote Dar mombasa



Sio kidogoHapo kazi ipo sasa
Watu kama nyie mupande Nyehunge express tu ukifika home bila mafua una roho ya simba...Inawezakana, hyo tahmeed sijapanda.. Ushapanda kimbinyiko lakin?

Anamlinda tu dada ake.Duh! Kaka gan huyo ana wivu ka mpenz?
Huyu kaka ni shidaa...

Bishoo anapenda kula kula, nyama pale morogoro, ruaha mkuu na comfort pale kitonga

AsanteKimbinyiko sijawahi hata kuona picha yake
hahaha...Kubwa lao hataki shigidi.Haha kubwa lao ye na newforce damdam