Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Safari masaa 17 kudaaadekiPanamfaa kwenda kwa Obama masaa 9 kama unaenda mbeya kwa new force
Safari masaa 17 kudaaadekiPanamfaa kwenda kwa Obama masaa 9 kama unaenda mbeya kwa new force
hahaha...ngoja
Kucheza gizani siwezi napenda hadharani kaka aone navyonesa kistaarabu chemba akinikuta ataniadhibuHapo hata sijakufaidi kwa kweli, njoo huku unichezee pekeangu ama unamuogopa kakako Quigley?
.Hamzidi Tahmeed ya Dar - MombasaKimbinyiko dodoma ni sheeeder, nimepanda siku moja ndani utadhani ndege
Nilipita mkuu, si ni ile barabara kwenye daraja la mtera japo sikua makini kuuona huo uwanjaKama ulipitia njia ya Dodoma, Kuna sehemu panaitwa nduli, ndio uwanja wao ulipo, lakini hauna hadhi ya fast jet kutua
Inawezakana, hyo tahmeed sijapanda.. Ushapanda kimbinyiko lakin?Hamzidi Tahmeed ya Dar - Mombasa
Takuma hajafunga tuView attachment 381616R.i.P
................
Ndiyo hiyo ni kama 15 kilometers kabla ya kufika iringa mjiniNilipita mkuu, si ni ile barabara kwenye daraja la mtera japo sikua makini kuuona huo uwanja
Duh! Kaka gan huyo ana wivu ka mpenz?Kucheza gizani siwezi napenda hadharani kaka aone navyonesa kistaarabu chemba akinikuta ataniadhibu.
Hilo nalo ni tatizo sasaTatizo Bishoo bahili
Bishoo anapenda kula kula, nyama pale morogoro, ruaha mkuu na comfort pale kitongaHaha dah, bas atakua sio bishoo kamili huyo
Mi hii nimepanda na modern Coast nimepanda pia zote Dar mombasaHamzidi Tahmeed ya Dar - Mombasa
Nishapanda. Na mpaka zinakopaki hapo Mabibo kwa akina Kubwa lao napajua.Inawezakana, hyo tahmeed sijapanda.. Ushapanda kimbinyiko lakin?
Tukimaliza kwanza wa chato ndio tutaangalia na vingineSi nilisikia sirikali inajitapa kuboresha viwanja nchi nzima kumbe kwa wanyalu hawakuboresha??