Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ziambieni zianze route ya IringaMbeya Kuna fast jet
Ziambieni zianze route ya IringaMbeya Kuna fast jet
Bora treni.......Ndege kuangalia mawili ru halafu safari 2 hrs ht huenjoyMbeya Kuna fast jet
Nafikiri ndo itakua hivyo ndo mana marcopolo yana nguvu sana na ukitaka kutofautisha na mchina ni pale kwenye kupanda mlima mchina huwa anaachwa kama kasimamaScania ni ile machine ila sasa kibongobongo naona body ndo wanatumia za Marcopolo
Hapo labda shululu anaweza saidia kuelezea au yoyote anaejua
Na life span piaNafikiri ndo itakua hivyo ndo mana marcopolo yana nguvu sana na ukitaka kutofautisha na mchina ni pale kwenye kupanda mlima mchina huwa anaachwa kama kasimama
kwani ankali na wewe ni from kamwene landZiambieni zianze route ya Iringa
Iringa uwanja ni shidaZiambieni zianze route ya Iringa
Haha kwahiyo unamwambia bishoo aachane na newforce sio?Mbeya Kuna fast jet
Ndio maana yakeHaha kwahiyo unamwambia bishoo aachane na newforce sio?
wamekaaaaaaaView attachment 381616R.i.P
................
Hivi kumbe hawana uwanja? Hapo sa itabidi wafyeke lile pori la mafinga zitue pale mana hakuna namnaIringa uwanja ni shida
Si ndio mana bei inakuwa chiniNa life span pia
Hapo sawaNafikiri ndo itakua hivyo ndo mana marcopolo yana nguvu sana na ukitaka kutofautisha na mchina ni pale kwenye kupanda mlima mchina huwa anaachwa kama kasimama
Inategemea unaenda wapiBora treni.......Ndege kuangalia mawili ru halafu safari 2 hrs ht huenjoy
.............
Hilo nalo tatizoIringa uwanja ni shida
Tatizo Bishoo bahiliHaha kwahiyo unamwambia bishoo aachane na newforce sio?