Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Aione shululu hiiView attachment 381616R.i.P
................
Aione shululu hiiView attachment 381616R.i.P
................
Wapi Takuma???
Wapi Takuma???
Hapana mi sitokei pande hiyonlijua na wewe ni wa huko kwa wala mboga![]()
![]()
Haha dah, bas atakua sio bishoo kamili huyoTatizo Bishoo bahili
Kama ulipitia njia ya Dodoma, Kuna sehemu panaitwa nduli, ndio uwanja wao ulipo, lakini hauna hadhi ya fast jet kutuaHivi kumbe hawana uwanja? Hapo sa itabidi wafyeke lile pori la mafinga zitue pale mana hakuna namna
Nangoja nimwone babu atakavyokurupuka kusajiliView attachment 381616R.i.P
................
Volleyball
Panamfaa kwenda kwa Obama masaa 9 kama unaenda mbeya kwa new forceInategemea unaenda wapi![]()
![]()
![]()
Kwingine hadi robo saa
Si nilisikia sirikali inajitapa kuboresha viwanja nchi nzima kumbe kwa wanyalu hawakuboresha??Kama ulipitia njia ya Dodoma, Kuna sehemu panaitwa nduli, ndio uwanja wao ulipo, lakini hauna hadhi ya fast jet kutua
Wala sijaliNangoja nimwone babu atakavyokurupuka kusajili