briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Haha natania tu kakaItakuwa wewe ni mteja
Haha natania tu kakaItakuwa wewe ni mteja
Wengine tumeshinda na njaaJaman habar zenyu
Mmishindaje woote!!?

, niadje lakin?Hapo hata sijakufaidi kwa kweli, njoo huku unichezee pekeangu ama unamuogopa kakako Quigley?

Poa mkuuuWengine tumeshinda na njaa, niadje lakin?
Baridi bado ipo hukoHaha nipo huku kwa kina Szczesny huku, habari ya parii?
Huko nlishaondoka mkuu, nipo huku kwenu hebu nipe ramaniPoa mkuuu
Habar za ujiji!!?
Ndiyo nazisikiliza east Africa radioUmetisha sana kwa hizi ngoma za zaman, yan kama ulikuepo vile
Baridi bado kali tuBaridi bado ipo huko
Enjoy mkuu, wanasema muziki ulipokuwa muzikiNdiyo nazisikiliza east Africa radio
Upo Iringa!!?Huko nlishaondoka mkuu, nipo huku kwenu hebu nipe ramani
YapUpo Iringa!!?
HaaaahaaaaEnjoy mkuu, wanasema muziki ulipokuwa muziki
Hahahaha
Huko kama huna koti, lazima ununue tuBaridi bado kali tu
Nilishajipanga mkuu, napajua hukuHuko kama huna koti, lazima ununue tu
Mi ni chizi mziki kabisa, yani iwe old skull au hizi sa sasa zote zinanipa uchizi maana kila mziki una raha yakeUmetisha sana kwa hizi ngoma za zaman, yan kama ulikuepo vile