Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Ilikuwa ukionekana unaenda magharibi una gongwa risasi hapo hapoLeo katika Historia:
1961 - Ujerumani Mashariki yafunga mpaka wake dhidi ya Ujerumani Magharibi ili kuzuia wahamiaji haramu.
Ilikuwa ukionekana unaenda magharibi una gongwa risasi hapo hapoLeo katika Historia:
1961 - Ujerumani Mashariki yafunga mpaka wake dhidi ya Ujerumani Magharibi ili kuzuia wahamiaji haramu.
Asante kwa historiaHata Obama nae ni kushoto.
HahahaLeo Katika Historia:
1926 - Fidel Castro anazaliwa.
Ni kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Cuba ya mwaka 1959 pamoja na makomredi wengine kama vile Ernesto Che Guevara, Raul Castro na Camilo Cienfuegos.
Anachukuliwa kama baba wa taifa la Cuba, kwa uongozi wake uliotukuka na shupavu katika Taifa hilo.
Babu SAF alimkosaga huyu bhanaLeo katika Historia:
1970 - Alan Shearer anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Blackburn Rovers, Newcastle na Timu ya Taifa ya England.
Anashikilia rekodi ya Kufunga magoli 260 katika Ligi Kuu ya England.
Kina obumaLeo katika Historia:
Ni siku ya kimataifa ya Watumiaji wa Mkono wa Kushoto.
Asante sanaHabari zenu makapukuz wenzangu, kwa mara ya kwanza kabisa ntawaletea segment itakayoitwa "OLD is ever GOLD" nikibase kwenye Biography ya Wasanii na Miziki ya aina yote iliyotamba miaka ya zamani sana lakini ilipendwa na watu wengi. Karibuni![]()
Sweetie pie.
Kitambo sanaaa hawa jamaaKool and the gang ni kikundi cha Jazz, R&b, Soul, Funk na Disco...kilianzishwa mwaka 1964 wakiwa wameegemea zaidi kwenye mziki miondoko ya Jazz, walianza na Jazz halisi baadae funk na r&b na pia wakafanya na smooth pop-funk. Waliuza nakala zaidi ya milioni 70 kimataifa. Waimbaji wa Kikundi hiki ni pamoja na Rober "Kool" bell (muhammad bayyan) akiimbia base, na Ronald bell (Khalis bayyan) akipiga Saxophone, muimbaji kiongozi ni James J.T Taylor, George brown yeye ni mpiga ngoma, Larry Gitten katika tarumbeta, Denis Thomas akipiga Saxophone pia ila ya sauti ya kwanza, Claydes Charles smith mpiga gitaa na Rick west (westfield) yeye akipiga kinanda.
Leo nawaletea kiba chao cha "Fresh" ambacho walikiachia novemba 24, 1984 katika studio ya De-lite Mercury, Wimbo huo ulishika namba 11 katika Uk Chart, na namba 9 katika U.S hot 100 Charts pia kilishika namba moja katika miondoko ya R&b. Wimbo huo ndio ulitambulisha msemo wa "Fresh" ambao ukimaanisha "Safi au poa"View attachment 380794View attachment 380795
Asante sana kwa Old is ever GoldOld is ever Gold imeletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Makapuz wote, asanteni na Weekend njema
by Sweetie pie.![]()
Huku kwetu ni mchana binamuZa asubuhi majirani
Oh yes nakumbuka vizuri.....Thanks
Hahaha
Kuna sku ulichelewa nkaleta magazet yoote mimi

Kutesa kwa zamu..na badoNaona tayari Leicester city kashalizwa kimoko
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hawa big 4 msimu huu wataiona kwa manati sanaaKutesa kwa zamu..na bado
![]()
![]()
![]()
..........