Hawa ndo wana hipo hopLeo katika Historia:
Ni siku ya Kuzaliwa kwa Farid Kubanda maarufu kama Fid Q.
#August13.
CulKwa udhamini mnono wa Farid Kubanda, Mzee wa August 13 niwatakie Jumamosi njema na Sabato njema.
MweeerView attachment 380694View attachment 380695View attachment 380696
Kwa urembo wake kawanasa wengi
...........
hahaha eti weupeHawa ndo wana hipo hop
Hao weupe sjui wa kijani uwa nawashangaa tuu
Mie pia
HaaaHongera zetu...[emoji23]
AiiiiNulikuwa naonaga aibu kuandikia mashoto had nikajifunza na mkono wa kulia so sahv natumie yote yote.
Mie shoto pia [emoji28]hahaha...ngoja tumsubiri na Kipa wa Arsenal
Ndio Szczesny...japo sikuhizi hadi kulia pia.Haaa
Unatumia shoto!!!
Hahaha
HahahaNimetoka old traffod sasa naingia hapa wakuu mpo salama?
Km unavyopiga puliHawa big 4 msimu huu wataiona kwa manati sanaa
Kwa ubaguzi wa mtu mweusi kaskazini wanaongozaMie pia
Wana wake wa Tunisia wazuri
Alaf wastaarabu
Ila probably ni wabaguzi kwa mtu mweusi
Sabato imeisha mapema hivi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Leicester kazi wanayo
Kuliko ww mpiga dekiLeicester kazi wanayo