Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari zenu makapukuz wenzangu, kwa mara ya kwanza kabisa ntawaletea segment itakayoitwa "OLD is ever GOLD" nikibase kwenye Biography ya Wasanii na Miziki ya aina yote iliyotamba miaka ya zamani sana lakini ilipendwa na watu wengi. Karibuni
Sweetie pie.
 
1471074684897.jpg
 
Habari zenu makapukuz wenzangu, kwa mara ya kwanza kabisa ntawaletea segment itakayoitwa "OLD is ever GOLD" nikibase kwenye Biography ya Wasanii na Miziki ya aina yote iliyotamba miaka ya zamani sana lakini ilipendwa na watu wengi. Karibuni
Sweetie pie.
Ni jambo jema.....cha msingi uwe na ratiba ya kueleweka ili usingiliane na vipindi vingine
Ratiba mtu unaamua mwenyewe unavyoona ndo muda nzuri

................
 
Kool and the gang ni kikundi cha Jazz, R&b, Soul, Funk na Disco...kilianzishwa mwaka 1964 wakiwa wameegemea zaidi kwenye mziki miondoko ya Jazz, walianza na Jazz halisi baadae funk na r&b na pia wakafanya na smooth pop-funk. Waliuza nakala zaidi ya milioni 70 kimataifa. Waimbaji wa Kikundi hiki ni pamoja na Rober "Kool" bell (muhammad bayyan) akiimbia base, na Ronald bell (Khalis bayyan) akipiga Saxophone, muimbaji kiongozi ni James J.T Taylor, George brown yeye ni mpiga ngoma, Larry Gitten katika tarumbeta, Denis Thomas akipiga Saxophone pia ila ya sauti ya kwanza, Claydes Charles smith mpiga gitaa na Rick west (westfield) yeye akipiga kinanda.
Leo nawaletea kiba chao cha "Fresh" ambacho walikiachia novemba 24, 1984 katika studio ya De-lite Mercury, Wimbo huo ulishika namba 11 katika Uk Chart, na namba 9 katika U.S hot 100 Charts pia kilishika namba moja katika miondoko ya R&b. Wimbo huo ndio ulitambulisha msemo wa "Fresh" ambao ukimaanisha "Safi au poa"
1471075582954.jpg
1471075591113.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom