Makapuku Forum

Makapuku Forum

FaizerFix

........
Aliyupiaje wakati ni mwanafunzi yule?
1471026037606.jpg
 
Number 9, Leonardo di ser Piero da Vinci,1452–1519View attachment 380414 Google searches: 4 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 600,000
Kama uki search kwenye google leonardo utapata matokeo ya ajab ajab, lakin uki search da vinci ndo utakapo ona alivo maarufu

Huyu ndo mtu mwenye CV nzuri na nzito kuliko woteee walo pata kuwepo kwani alikuwa ni , injinia, mwana mahesabu, mwana muziki, mnajimu, architest, Catographer, botanist, writer, sculptor, anatomist, mchoraji etc aligundua sniper rifle, aliweza kumshoot mtu alo kuwa umbali wa yadi 1000, aligundua parashuti, ugunduzi wa heljopta asilimia 90 alifanya yeye, alishndwa kuendelea alpo jaribu mara nyingi aka kata tamaa, pamoja na meengi aligundua mkasi, kwa kuunganisha visu vyake viwili alip kuwa akijarubu kurekebisha nguo zake
Alikuwa ana tengeneza sanamu ambazo ziko ulaya, na marekani alitengeneza sanamu ambazo zilikuwa nzito na kubwa sanaa
Ki ujumla jamaa karibu kila kitu kina mkono wake hatari
Mtaalam da vinci

Mwambie himena himenes akutajie hilo jina ndio utafaidi.. Wapi jimena.
 
Number 5, Siddhartha Gautama (Buddha)
c. 563–c. 483 B.C View attachment 380442 hahaha huyu simjui vzuri hata kutafsir nmeshndwa

Google searches: 4 million+ per month
Number of books: c. 7 million
Ila nawakubali sana mabudha nadhan ni dini ya kistaarbu kuliko zote dunian
Sasa tunafanyaje na mimi nilikuwa nakutegemea unihabarishe zaid juu yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom