Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 2, Abū al-Qāsim Muḥammad ibn ʿAbd Allāh
c. A.D. 570–632 View attachment 380475
Google searches: 13.6 million+ kwa mwezi
Number of books: havihesabiki (ni vingi mnoo)
Mtume Muhammad Sallallahu alaihi wa sallam anajulikana hatuna haja ya kupigiana kelele

Wasio waislam wao husema yeye aliamzisha dini hii, lakini kwa waislam , Uislam ulikuwepo na Mungu ndo aliye anzisha isipo kuwa mtume yeye ali u regulate na kuwarudsha wale walo kuwa wameptea katika ujinga wamrudie M/Mungu
Inadhaniwa kuwa Uislam ndio imani inayo kua kwa kasi zaid karne ya 21 na kwa dini hii mtume Muhammad ndiye the final prophet
Muhammad Abdallah Mutalib muarabu wa Kabila la kureish
 
Number 1, Jesus of Nazareth
c. 5 B.C.–c. A.D. 28 View attachment 380477 Google searches: 24.9 milion kwa mwezi
Number of books: haihesabiki(ni vingi mno)
Vitabu vya Enjil vyotee vina eleza maisha yake, vina taja kuwa alizakiwa kwa Bikira Mariam na alikifa akiwa na miaka 33 takriban mwaka 33 A.D (+ or - 5)
Dunia ina watu zaid ya bilion 7 ina kadiriwa watu wanao amini kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu ni asilimia 33.22, ambao ni zaid ya bilion 2.3.
Huyu ni mmoja ya wahanga wakubwa wa kifo cha crixification na inadhaniwa kuwa baada ya siku kadhaa alifufuka
Wayahudi na waislam ambao wako takriban bilioni 1. 6 wanamtambua vizuri pia kama mtume wa Mwenyez Mungu
Yesu ana julikana na asilima 98 ya dunia nzima kasoro makabila yanayo kadiriwa kufika 100 ambayo nayo haya mjui mtu mwingne yeyote katika historia isipo kuwa wao tuu waishio hapo
Huwa nahisi alikuwa handsome sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom