Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 10 Sir Isaac Newton
1642–1727
1471018513839.jpg
Google searches: 1 million+ kwa mwezi
Number of books written about this person: kopi 400,000
Ingekuwa kuangalia watu wanao mgoogle tuu basi Einstein angempita mbali, lakini Newton ameandikwa zaid kwenye maandiko mengi na einsten alikuja miaka 200 baada ya newton kuondoka na nu ngumu kumtenga newton hata kwenyw ugunduzi alo fanya einsten
Asilimia 95 ya kila kinacho fundishwa na kufanyika kwenye kazo za umakenika ni idea za newton na yeye ali gundua binomial theorem, aligundua reflecting telescope, na ndiye mwanzilishi wa neno “gravity”
Aligundua jinsi kila kitu kwenye dunia(kinacho onekana na kischo onekana) kinavo move, pia ali pata kuchunguza na kugundua elements na principles of optics.

Ilikuweza kufanya hivi, Newton ilimbidi awe busy muda wote asipate hata kufanya mapenzi,
Na alifariki akiwa na 84 huku akiwa hajawahi kufanya mapenzi na hajawahi muona mwanamke akivua nguo mbele yake(alikuwa bikira kabsa)
 
Number 10 Sir Isaac Newton
1642–1727 View attachment 380409 Google searches: 1 million+ kwa mwezi
Number of books written about this person: kopi 400,000
Ingekuwa kuangalia watu wanao mgoogle tuu basi Einstein angempita mbali, lakini Newton ameandikwa zaid kwenye maandiko mengi na einsten alikuja miaka 200 baada ya newton kuondoka na nu ngumu kumtenga newton hata kwenyw ugunduzi alo fanya einsten
Asilimia 95 ya kila kinacho fundishwa na kufanyika kwenye kazo za umakenika ni idea za newton na yeye ali gundua binomial theorem, aligundua reflecting telescope, na ndiye mwanzilishi wa neno “gravity”
Aligundua jinsi kila kitu kwenye dunia(kinacho onekana na kischo onekana) kinavo move, pia ali pata kuchunguza na kugundua elements na principles of optics.

Ilikuweza kufanya hivi, Newton ilimbidi awe busy muda wote asipate hata kufanya mapenzi,
Na alifariki akiwa na 84 huku akiwa hajawahi kufanya mapenzi na hajawahi muona mwanamke akivua nguo mbele yake(alikuwa bikira kabsa)
1471019609593.jpg
1471019616001.jpg
1471019621647.jpg
Mr Physics
.........
 
Number 9, Leonardo di ser Piero da Vinci,1452–1519
1471019354057.jpg
Google searches: 4 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 600,000
Kama uki search kwenye google leonardo utapata matokeo ya ajab ajab, lakin uki search da vinci ndo utakapo ona alivo maarufu

Huyu ndo mtu mwenye CV nzuri na nzito kuliko woteee walo pata kuwepo kwani alikuwa ni , injinia, mwana mahesabu, mwana muziki, mnajimu, architest, Catographer, botanist, writer, sculptor, anatomist, mchoraji etc aligundua sniper rifle, aliweza kumshoot mtu alo kuwa umbali wa yadi 1000, aligundua parashuti, ugunduzi wa heljopta asilimia 90 alifanya yeye, alishndwa kuendelea alpo jaribu mara nyingi aka kata tamaa, pamoja na meengi aligundua mkasi, kwa kuunganisha visu vyake viwili alip kuwa akijarubu kurekebisha nguo zake
Alikuwa ana tengeneza sanamu ambazo ziko ulaya, na marekani alitengeneza sanamu ambazo zilikuwa nzito na kubwa sanaa
Ki ujumla jamaa karibu kila kitu kina mkono wake hatari
 
Number 9, Leonardo di ser Piero da Vinci,1452–1519View attachment 380414 Google searches: 4 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 600,000
Kama uki search kwenye google leonardo utapata matokeo ya ajab ajab, lakin uki search da vinci ndo utakapo ona alivo maarufu

Huyu ndo mtu mwenye CV nzuri na nzito kuliko woteee walo pata kuwepo kwani alikuwa ni , injinia, mwana mahesabu, mwana muziki, mnajimu, architest, Catographer, botanist, writer, sculptor, anatomist, mchoraji etc aligundua sniper rifle, aliweza kumshoot mtu alo kuwa umbali wa yadi 1000, aligundua parashuti, ugunduzi wa heljopta asilimia 90 alifanya yeye, alishndwa kuendelea alpo jaribu mara nyingi aka kata tamaa, pamoja na meengi aligundua mkasi, kwa kuunganisha visu vyake viwili alip kuwa akijarubu kurekebisha nguo zake
Alikuwa ana tengeneza sanamu ambazo ziko ulaya, na marekani alitengeneza sanamu ambazo zilikuwa nzito na kubwa sanaa
Ki ujumla jamaa karibu kila kitu kina mkono wake hatari
1471020432070.jpg
1471020437827.jpg
1471020446287.jpg
Sisi tunampamba yule boya
.......
 
Number 8, William Shakespeare
1564–1616
1471020060420.jpg
Google searches: 7.4 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 1 million
Ana fahamika kama mwaandishi bora kabsa wa lugha ya kiingereza na lugha nyingine wa muda wote
Wakati asilima 50 ya mosemo ya ki ingereza imetoka kwenye biblia ya King James, asilimia 30 imetoka kwa bwana shakespere pia jama umewahi tumia maneno haya
“It’s all Greek to me;” “food for the gods;” “all that glitters is not gold;” “a sorry sight;” “dead as a doornail;” “come what may;” “with one fell swoop;” or “all’s well that ends well;” then “by Jove” basi ume fanya kum shululu (yaan kumnukuu) bro Shakespeare.
 
Number 8, William Shakespeare
1564–1616 View attachment 380421 Google searches: 7.4 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 1 million
Ana fahamika kama mwaandishi bora kabsa wa lugha ya kiingereza na lugha nyingine wa muda wote
Wakati asilima 50 ya mosemo ya ki ingereza imetoka kwenye biblia ya King James, asilimia 30 imetoka kwa bwana shakespere pia jama umewahi tumia maneno haya
“It’s all Greek to me;” “food for the gods;” “all that glitters is not gold;” “a sorry sight;” “dead as a doornail;” “come what may;” “with one fell swoop;” or “all’s well that ends well;” then “by Jove” basi ume fanya kum shululu (yaan kumnukuu) bro Shakespeare.
1471020718801.jpg
1471020723690.jpg
1471020728292.jpg

Ukitaka kuwaficha jambo waTz andika kitabu
..........
 
Number 7, Adolf Hitler
1889–1945
1471020520692.jpg
Google searches: 6.1 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 175,000
Kama humjui hitler kanywe uji ulale

Ila hitler ndio mtu pekee wa karne ya 20 ambaye inadhaniwa historia yake haitakuja kupotea kabisa

Na uwa mara nyingi ana nukuliwa katika watu waovu aki ambatanishwa na shetani, licifa, stalin na rais yeyote wa marekani aliye madarakani muda huo
Yeye alisababisha vita iliyo ua watu zaid ya milioni 71 ambayo ni vita kuu ya pilibya dunia, hakina vita yyte toka kuumbwa kwa ulimwengu iliua watu kama vita ako ianzisha Hitler
 
Number 7, Adolf Hitler
1889–1945 View attachment 380427 Google searches: 6.1 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 175,000
Kama humjui hitler kanywe uji ulale

Ila hitler ndio mtu pekee wa karne ya 20 ambaye inadhaniwa historia yake haitakuja kupotea kabisa

Na uwa mara nyingi ana nukuliwa katika watu waovu aki ambatanishwa na shetani, licifa, stalin na rais yeyote wa marekani aliye madarakani muda huo
Yeye alisababisha vita iliyo ua watu zaid ya milioni 71 ambayo ni vita kuu ya pilibya dunia, hakina vita yyte toka kuumbwa kwa ulimwengu iliua watu kama vita ako ianzisha Hitler
1471021272685.jpg
1471021279304.jpg
1471021284059.jpg
Dictator original not uchwara
..........
 
Number 6, Paul the Apostle of Tarsus,c.5–c.A.D,67,
1471020997332.jpg
Google searches: 3.35 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi milioni 7
Paul mtume ni mmoja ya watu walio sababisha ukristo ukue na kuwa imani iliyo fika sehemu mbali mbali za dunia, na ndiye aliye andika nyaraka za kwanza kabisa ya kile kinacho itwa agano jipya na aliandika kutabu chake cha kwanza ambacho ni barua kwa wagalatia takriban miaka 5-10 kabka hata ya mtakatifu marko haja andika historuria ya maisha ya yesu
Yeye hapo kabla akikuwa mwendesha mashtaka wa wake walio amini kuhusu yesu lakini baadaye alibadilika na kuwa mmoja ya wafuasi na watetezi wa kubwa wa Yesu na aliandika vitabu 13 kati ya vyote vilivopo kwenye biblia (mtu pekee kuwa na maandiko mengi humo)
Paulo alitangaza injil na alisema injili yake inakutaka umwamini bwana Yesu kristo kuwa alikifa aka fufuka na ni mwana wa mungu na pia ukisha mwamini hauta kufa ila uta ingia katika kubadilisha namna tuu ya maisha (transition of body) pale utakapo kufa

Baada ya watu wengi kumuamini St Paul utawala wa Roma ulimkamata na kumnyonga kwa kumkata na msumeno nje kidogo ya roma hapo San Paolo alle Tre Fontane, au basilica of Saint Paul

Umaarufu wake uliwapita wale wanafunzi wengine, isipo kuwa ppa wa kwanza st Peter
 
Number 5, Siddhartha Gautama (Buddha)
c. 563–c. 483 B.C
1471021804835.jpg
hahaha huyu simjui vzuri hata kutafsir nmeshndwa

Google searches: 4 million+ per month
Number of books: c. 7 million
Ila nawakubali sana mabudha nadhan ni dini ya kistaarbu kuliko zote dunian
 
Number 4, Mosesc. 1300–c. 1180 B.C.
1471021994404.jpg
Google searches: 2.7 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi 8 million

Na m copy jama alivo nukuliwa
Moses is revered but not worshipped by all three major monotheisms, Judaism, Christianity, and Islam, as well as Baha’i. He is regarded as the greatest prophet of the Old Testament; the liberator of the Jewish people from slavery in Egypt; their leader into Canaan, the Promised Land; and their lawgiver, who relayed God’s commandments to the Jews, and founded much of Jewish life and tradition.
The Pharaoh’s daughter, usually named Bithiah, found the infant Moses in a basket floating in the Nile and took him as her own son. She named him after the Hebrew verb “to draw,” since she drew him out of the river. No information is given on Moses’s life, except that he was raised in the Egyptian noble household, and that one day he saw an Egyptian beating a Hebrew slave and saved the Hebrew by killing the Egyptian. He then hid in the wilderness, and met Jethro, who was a follower of the precursor faith to Islam.
Jethro gave him Zipporah, his daughter, to be his wife, and Moses met God for the first time, who showed himself in the form of a burning bush. Moses then bravely returned to Egypt and, with God’s help, forced the Pharaoh to let his people go. Moses was about 80 years old when this Exodus began. They wandered the desert wilds for 40 more years, received God’s law through Moses, built an ark into which the law was placed, and finally reached a land flowing with milk and honey, which God promised them. Moses, however, had acted arrogantly when he struck the stone from which water sprang for the Israelites, and so God refused to allow him entrance into Canaan. Moses died at 120 years and God buried him in the Moab valley opposite Mount Nebo. There is a memorial to him there today.
 
Number 6, Paul the Apostle of Tarsus,c.5–c.A.D,67,View attachment 380435 Google searches: 3.35 million+ kwa mwezi
Number of books: kopi milioni 7
Paul mtume ni mmoja ya watu walio sababisha ukristo ukue na kuwa imani iliyo fika sehemu mbali mbali za dunia, na ndiye aliye andika nyaraka za kwanza kabisa ya kile kinacho itwa agano jipya na aliandika kutabu chake cha kwanza ambacho ni barua kwa wagalatia takriban miaka 5-10 kabka hata ya mtakatifu marko haja andika historuria ya maisha ya yesu
Yeye hapo kabla akikuwa mwendesha mashtaka wa wake walio amini kuhusu yesu lakini baadaye alibadilika na kuwa mmoja ya wafuasi na watetezi wa kubwa wa Yesu na aliandika vitabu 13 kati ya vyote vilivopo kwenye biblia (mtu pekee kuwa na maandiko mengi humo)
Paulo alitangaza injil na alisema injili yake inakutaka umwamini bwana Yesu kristo kuwa alikifa aka fufuka na ni mwana wa mungu na pia ukisha mwamini hauta kufa ila uta ingia katika kubadilisha namna tuu ya maisha (transition of body) pale utakapo kufa

Baada ya watu wengi kumuamini St Paul utawala wa Roma ulimkamata na kumnyonga kwa kumkata na msumeno nje kidogo ya roma hapo San Paolo alle Tre Fontane, au basilica of Saint Paul

Umaarufu wake uliwapita wale wanafunzi wengine, isipo kuwa ppa wa kwanza st Peter
1471022220536.jpg
1471022228829.jpg
1471022233422.jpg

Kumbe biblia imetungwa na masela

..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom