Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,656
- 25,864
Si ana kipara?Naskia leo kasema tufyatue tu watoto kwakuwa elimu bure.
Ni shida, tatizo sio maendeleo tena, tufyatue tu watoto ndio kipaombele chakeNaskia leo kasema tufyatue tu watoto kwakuwa elimu bure.
Hapa bitoz na upicha picha wake, ataruka ruka na picha yake ataikosa..Number 2, Abū al-Qāsim Muḥammad ibn ʿAbd Allāh
c. A.D. 570–632 View attachment 380475
Google searches: 13.6 million+ kwa mwezi
Number of books: havihesabiki (ni vingi mnoo)
Mtume Muhammad Sallallahu alaihi wa sallam anajulikana hatuna haja ya kupigiana kelele
Wasio waislam wao husema yeye aliamzisha dini hii, lakini kwa waislam , Uislam ulikuwepo na Mungu ndo aliye anzisha isipo kuwa mtume yeye ali u regulate na kuwarudsha wale walo kuwa wameptea katika ujinga wamrudie M/Mungu
Inadhaniwa kuwa Uislam ndio imani inayo kua kwa kasi zaid karne ya 21 na kwa dini hii mtume Muhammad ndiye the final prophet

Hata mm hyo nmeisikiaNaskia leo kasema tufyatue tu watoto kwakuwa elimu bure.

Ndio hivyoHiyo binam yaniacha hoi
Viwanda viko wapi?Ni shida, tatizo sio maendeleo tena, tufyatue tu watoto ndio kipaombele chake
Kaharibu moka tu chini.. Ilibidi apige moka ya ukiri.
Tell demMkuu
Hasa kama Mungu ana ona mpaka nia yako na ndo ana panga kila kitu kwa nn amjaribu mtu!!?
Alaf kutishia kuua tuu si uungwna
Mungu haez kuwa hvo asee
Miraba 7 niko hapa, hvyo kapuku uchwara ajiangalie vizuriUmewafukuza kimtindo
![]()
![]()
![]()
..........
Haya bhana, fumbo mfumbe mjingaNdio hivyo

Kwa hyo akili ni nyweleSi ana kipara?
Tushangae kwa lipi sasa
![]()
![]()
![]()
..........

Ndio. Alikuwa mtu wake wa karibu, ila kwavile kile kitabu hakikuweka maisha yake binafsi ndio maana kipengele hiki hakiko waziWana semaga kuna mtu alikuwa ana itwa Mariam Magdalen
Alikuwa ana mkuv kabsa kabsa Sir Yesu... (Naskia et lakin)
![]()
![]()
Ukiongelea viwanda, lazima ukumbuke je una power ya kutosha (UMEME)?Viwanda viko wapi?
U deserveAhsante kwa sapot
I appriciate that