makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,595
Happy birthday to uHappy birthday to me
Kwa Messi mpaka mahakama Imethibitishwa, angekuwa ujerumani angeisha wekwa lupangoMie siangali hayo, ni kama vile wanavyosema ronaldo shoga, kwangu haimpunguziii heshima yake kwangu
Una uhakika??
Duh.. Mie ndio maana sijataka haya mambo, ila na mie ningeamua nahisi ningekuwa greatest, ila sasa kuisamehe papuchi, inahtaji moyo wa chuma hasa dunia ya sasaNumber 10 Sir Isaac Newton
1642–1727 View attachment 380409 Google searches: 1 million+ kwa mwezi
Number of books written about this person: kopi 400,000
Ingekuwa kuangalia watu wanao mgoogle tuu basi Einstein angempita mbali, lakini Newton ameandikwa zaid kwenye maandiko mengi na einsten alikuja miaka 200 baada ya newton kuondoka na nu ngumu kumtenga newton hata kwenyw ugunduzi alo fanya einsten
Asilimia 95 ya kila kinacho fundishwa na kufanyika kwenye kazo za umakenika ni idea za newton na yeye ali gundua binomial theorem, aligundua reflecting telescope, na ndiye mwanzilishi wa neno “gravity”
Aligundua jinsi kila kitu kwenye dunia(kinacho onekana na kischo onekana) kinavo move, pia ali pata kuchunguza na kugundua elements na principles of optics.
Ilikuweza kufanya hivi, Newton ilimbidi awe busy muda wote asipate hata kufanya mapenzi,
Na alifariki akiwa na 84 huku akiwa hajawahi kufanya mapenzi na hajawahi muona mwanamke akivua nguo mbele yake(alikuwa bikira kabsa)
Number 2, Abū al-Qāsim Muḥammad ibn ʿAbd Allāh
c. A.D. 570–632 View attachment 380475
Google searches: 13.6 million+ kwa mwezi
Number of books: havihesabiki (ni vingi mnoo)
Mtume Muhammad Sallallahu alaihi wa sallam anajulikana hatuna haja ya kupigiana kelele
Wasio waislam wao husema yeye aliamzisha dini hii, lakini kwa waislam , Uislam ulikuwepo na Mungu ndo aliye anzisha isipo kuwa mtume yeye ali u regulate na kuwarudsha wale walo kuwa wameptea katika ujinga wamrudie M/Mungu
Inadhaniwa kuwa Uislam ndio imani inayo kua kwa kasi zaid karne ya 21 na kwa dini hii mtume Muhammad ndiye the final prophet
Musa katika ubora wake
Umetisha vibaya my dear cousinTupate mapumziko
Nikirejeaaa
Ntakuleteeni namba zlizo bak
Hii ni kumi kubwa na mimi Szczesny
Ukistaajabu ya Musa...utayaona ya Ngedere ,Kichumvi na FaizerFixMusa katika ubora wake
Basi leo ntahakikisha unasikiliza Song moja matata sanaaaa
Ahsant mzee wa nukuuTwasubiri
Number 1, Jesus of Nazareth
c. 5 B.C.–c. A.D. 28 View attachment 380477 Google searches: 24.9 milion kwa mwezi
Number of books: haihesabiki(ni vingi mno)
Vitabu vya Enjil vyotee vina eleza maisha yake, vina taja kuwa alizakiwa kwa Bikira Mariam na alikifa akiwa na miaka 33 takriban mwaka 33 A.D (+ or - 5)
Dunia ina watu zaid ya bilion 7 ina kadiriwa watu wanao amini kuwa Yesu ni mtoto wa Mungu ni asilimia 33.22, ambao ni zaid ya bilion 2.3.
Huyu ni mmoja ya wahanga wakubwa wa kifo cha crixification na inadhaniwa kuwa baada ya siku kadhaa alifufuka
Wayahudi na waislam ambao wako takriban bilioni 1. 6 wanamtambua vizuri pia kama mtume wa Mwenyez Mungu
Yesu ana julikana na asilima 98 ya dunia nzima kasoro makabila yanayo kadiriwa kufika 100 ambayo nayo haya mjui mtu mwingne yeyote katika historia isipo kuwa wao tuu waishio hapo