Makapuku Forum

Makapuku Forum

1471017738211.jpg
 
Aaah ni ndoto ya kila mtu kuwa maarufu, japo jarida maarufu la forbes hutoa watu wenye ushawishi kwa kila mwaka
Mfano justin bieber alitajwa kama mtu maarufu kuliko wotee duniani kwa mwaka 2010
Japo pia Michael Jackson alitajwa mwaka 2009 na ina kadiriwa jina lake lili tafutwa kwenyw google takriban mar milion 11

Lakin hao woteee huwa hawa wazidi watu wafuatao ambao tuna wacheki leo
Watu 10 wenye umaarufu kuliko woote kwa muda woote
Yaan Top 10 Most Famous People

Ina angaliwa idadi ya watu iliyo wa google na maandiko mangapi yamegusa majina ya watu hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom