Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Nimecheka sana.Alifikiri Rais wa Ujerumani ana mamlaka rundo km Jioni Pombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Nimecheka sana.Alifikiri Rais wa Ujerumani ana mamlaka rundo km Jioni Pombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Kwa kweli sijaona hao totoz bado ama kwa sababu sio wkend labda?Totoz
Ngoja niiweke sawa mamRekebisha
Leo utasikia kasimamishwa Mr Nyau....kesho Mrs Kifaru lkn hatuoni dalili ya maendeleo yaani blahblahHahahah
Kila sku viongozi wana toa neno ila matendo amnaa
Namkubali sana huyu jamaa akifuatiwa na yule wa chinaNumber 1, Vladimir Putin View attachment 379226huyu ndio kiongozi nnaye mpenda zaid kwa sasa na nna fanya mipango ya kwenda kumtembelea siku moja
Ameweza kuiendeleza urusi ki uchumi na kijeshi pia wana nchi wake wana ikubali kazi anayo fanya kwa asilimia 89% ameweza kuwa kiongozi wa kuibakisha serikali huko Syria, kupambana na ISIS na kukichukua kisiwa cha Crimea bila bugudha ya mtu yyte
Uchumi wa urusi unakua na ndiye kiongozi mchapa kazi na mwenywe kauli kuliko wotee duniani
United Sister Of Andunje[emoji631] [emoji631] [emoji631] USA baby
Una akili aseeNamkubali sana huyu jamaa akifuatiwa na yule wa china
United System of Assassination.United Sister Of Andunje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
........
Asante kwa hii kumi kubwa, umewakilisha vyemaNi mimi Sczesny Carrenza aka Field Marshall
Wenzetu wana democracy ya kweliHahaha
Kuwa makin
Dikteta uchwaraAnko wa chatle
Hahaha sikuielewa vizuri intro yakoHahahaha
Imekula kwako
Kama unadhan nguvu za dunian ni mwilo !!!!
Kumbe ni tanga moja haha... Ndo mana kijana unasinziasinzia studio [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayupo bhana kenda kwao Tanga mara moja
Hakika, hiyo ni almasi mchanganiAna bahati sanaaa
[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Jioni Pombe Makufuli
..............
Kwa mzigo nnaopiga mchana nikishindia viazi usiku itakua ni kulidanganya tumbo aiseeBila shaka umeshiba viazi saa hii
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Tutaenda wote
Uta mjua vzuri
Kwani vipi[emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Ahsante kwa sapot mkuuAsante kwa hii kumi kubwa, umewakilisha vyema
Mkuu mara kadhaa nmeona post yako ndo inaanzisha K nyngneMuda ndio huo