Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Tutaenda woteMi wala sina simkubali
Uta mjua vzuri
Tutaenda woteMi wala sina simkubali
Shukrani sana kwa kushow someAhsanten sana kwa sapot yenu ya kilaa siku wakuu
Pia shout out zimwendee my one and onlyJimena Jimenes kwa sapot yake ya nguvu kabsa hapa.
Ndo nasepa hvo
i real appreciate thisKati ya huyu mama na Rais wa Ujerumani nani yupo juu kimadaraka?Number 2, Angela Merkel View attachment 379219huyu ni Chancellor wa Ujerumani ambaye mwaka 2014 alifanikiwa kishinda awamu ya tatu ya uchaguzi wa miaka mi nne huko nchini kwake
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
Shukrani sana kwa kushow somei real appreciate this
Jasusi wa zamani wa KGB ambae ana mkanda mweusi wa Taekwondo.Number 1, Vladimir Putin View attachment 379226huyu ndio kiongozi nnaye mpenda zaid kwa sasa na nna fanya mipango ya kwenda kumtembelea siku moja
Ameweza kuiendeleza urusi ki uchumi na kijeshi pia wana nchi wake wana ikubali kazi anayo fanya kwa asilimia 89% ameweza kuwa kiongozi wa kuibakisha serikali huko Syria, kupambana na ISIS na kukichukua kisiwa cha Crimea bila bugudha ya mtu yyte
Uchumi wa urusi unakua na ndiye kiongozi mchapa kazi na mwenywe kauli kuliko wotee duniani
HaswaaaaHehehe
Alaf ana hela
Sawa Field Mashal tumekupata vyema.Ni mimi Sczesny Carrenza aka Field Marshall
Na Kina nani???Ame wezeshwa
Huyo jamaa wa Msoga kwa kukenua tuu hajambo
AaahKati ya huyu mama na Rais wa Ujerumani nani yupo juu kimadaraka?
Wazee wa marekan huko hukoNa Kina nani???
Yko smart sanaaJasusi wa zamani wa KGB ambae ana mkanda mweusi wa Taekwondo.
Yupo smart sana katika uongozi wake.
Nmekosea hiyo msg usjal
Unataka kumposa???Ana mume?
Mmmmhhh![]()
![]()
![]()
Nasnzia kawaida tuu
Ni kweliPapa mtu mkubwaa