Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wanasiasa utawajua tuNakubaliana na wewe
Wanasiasa utawajua tuNakubaliana na wewe
Kweli aisee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwambie huyo
Six pack waachie wana mieleka
.
Ana mume?Number 7, Janet Yellen View attachment 379194 moja ya wana wake wawili tuu walio kwenye kist hii
Huyu yeye ni mwenyeliti wa mifuko ya akiba ya shirikisho huko amerika yaan ni Chair of Federal Reserve of Washington, United States.
Huyu ana nguvu kwa kuwa ndiye anaye kontroo uchumi kwa namna yyte ambayo ana ona ina faa na ndo pesa zoote pale marekani ana zishililia yeye na ufunguo una lala kwake
Lala mkuuDaaah
Nasnzia kshenz yaan
Bila shaka umeshiba viazi saa hiiKanda ya ziwa nishaondoka mkuu leo niko tabora
HahahaAna mume?
Number 2, Angela Merkel View attachment 379219huyu ni Chancellor wa Ujerumani ambaye mwaka 2014 alifanikiwa kishinda awamu ya tatu ya uchaguzi wa miaka mi nne huko nchini kwake
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
Aiseee Pope ametisha vibayaNumber 4, Pope FrancisView attachment 379208 haya maelezo ya papa nashindwa kujifanya mjuaji kwa hiyo naya chukua kama yalivo
"Aged 78, Pope Francis retained his position as the fourth most powerful person in the world. Bishop of Rome, Francis is a spiritual leader to 1.2 billion people according to Forbes. Recently he was in news when he met inmates in a Philadelphia jail where he met victims of sexual abuse.
He called for a 'healthy decentralisation' of power in the Roman Catholic Church which includes changes in papacy and decision-making authority for local bishops.
With strong beliefs, Pope Francis once told that the church should not be a museum of memories but have the courage to change. He has also condemned xenophobia and discrimination against Europe's gypsies. He strongly signals the church to quiet its focus on 'issues related to abortion, gay marriage and the use of contraceptives',"
Weka pichaWape hi wanyamwezi, angalia usije ukang'ang'ania tabora, Kuna mambo huko
Papa mtu mkubwaaAiseee Pope ametisha vibaya
Hata mimi huyu mzee walaaaNumber 3, Barack Obama View attachment 379212 kwa kweli si mkubali huyu jamaa hadi bas yaan
Yeye ndiye rais wa 44 wa marekani na ndiye rais wa kwanza mweusi katika nchi hiyo pamoja na kuwa alianza kwa kasi lakin kipindi chake hasa cha pili kimesguhudia Marekani iki yumba yumba ki uchumi na yye akishindwa ku wa na ushawaishi kwenye bunge la marekani (ambalo wamejaa wana Republican) na kushindwa kupitisha maazimio na mipango yake mingi, kwa hiyo nguvu zake ni kama zine shuka kidogo kutoka moja hadi 3

Huyu uongozi atausikia kwenye bomba awamu ijayo, wajerumani hawatarudia hilo kosaNumber 2, Angela Merkel View attachment 379219huyu ni Chancellor wa Ujerumani ambaye mwaka 2014 alifanikiwa kishinda awamu ya tatu ya uchaguzi wa miaka mi nne huko nchini kwake
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
Hahaha
Kwa wangazija na wanyamwezi!!Wape hi wanyamwezi, angalia usije ukang'ang'ania tabora, Kuna mambo huko
Mi wala sina simkubaliNumber 1, Vladimir Putin View attachment 379226huyu ndio kiongozi nnaye mpenda zaid kwa sasa na nna fanya mipango ya kwenda kumtembelea siku moja
Ameweza kuiendeleza urusi ki uchumi na kijeshi pia wana nchi wake wana ikubali kazi anayo fanya kwa asilimia 89% ameweza kuwa kiongozi wa kuibakisha serikali huko Syria, kupambana na ISIS na kukichukua kisiwa cha Crimea bila bugudha ya mtu yyte
Uchumi wa urusi unakua na ndiye kiongozi mchapa kazi na mwenywe kauli kuliko wotee duniani
HahahahaHuyu uongozi atausikia kwenye bomba awamu ijayo, wajerumani hawatarudia hilo kosa