Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 2, Angela Merkel
huyu ni Chancellor wa Ujerumani ambaye mwaka 2014 alifanikiwa kishinda awamu ya tatu ya uchaguzi wa miaka mi nne huko nchini kwake
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
Kwa sasa ni kama ndiyo kiongozi mkuu wa jumuiya ya ulaya pia ametumika kushawishi sana nchi za jumuia ya ulaya kushughulika mattzo ya nchi hizo likiwemo ttzo ka wakimbizi
Jimena Jimenes kwa sapot yake ya nguvu kabsa hapa.