Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Mbona hawako kwenye list za magaid [emoji28]Sasa we unachagua magaidi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hao ni Marais wa mchi makini
Mbona hawako kwenye list za magaid [emoji28]Sasa we unachagua magaidi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sjui jina lake ngoja ni li google apaAnaitwa nani??
Nchi za Schengen karibu zote dizaini yake ya uongozi waziri mkuu ndio mambo yote,Ufalme uchwara.....wana PRESIDENT sema kuna zina nyingi za serikali/state na kumbuka tulifundishwa constitutional law kwahiyo serikali muundo zinatofautiana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
............
HahahaNi sawa, nilidhani nao wana mfalme, huyo Rais wao sijawahi hata kumsikia japo nimewahi tembelea hapo mara chache
Pengine alifungwa na khanga kiunoni kama loki asichomoke, kafunguliwa wakati wa studio.. Hatari sana tanga [emoji4] [emoji4]Ni sheeeeder mambo ya waja leo warudi leo
Ahadi bado zinaendelea [emoji3] [emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Vinginevyo itakula kwake[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] anza kuwapenda anaowapenda mana hakuna namna tena
Kesho Mr Kengele atasimamishwa uenyekiti wa bodi ya maharage na Waziri uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mguu wa nyuma wa mbuziSasa umekula nini?
Jela kibaya....nishawahi wekwaupango siku 2 nilipaona parefu kichizi tena nilibambikiwa tu kosa coz sikuelewana lugha na vipolisi uchwara[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ufanye hivyo mapema kabla mi sijapata safari za huko[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ntampeleka kwa hao vingoz ata wapenda tuu akiwaona
NaonaAhadi bado zinaendelea [emoji3] [emoji3]
Kale katoto a korea kamekua pale pale Ikulu ila sahivi toka ajue kunyoa panki hatusemi.Mbona hawako kwenye list za magaid [emoji28]
Hao ni Marais wa mchi makini
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kazi kweli kweliKesho Mr Kengele atasimamishwa uenyekiti wa bodi ya maharage na Waziri uchwara
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
PoaSjui jina lake ngoja ni li google apa
Dogo kajua kunyoa panki hahaha nimecheka sanaKale katoto a korea kamekua pale pale Ikulu ila sahivi toka ajue kunyoa panki hatusemi.
Putini nae kidege chake kilitunguliwa na Uturuki akashindwa hata kulipa kisasi zaidi ya kuongea maneno yasiyo na tija tu kama dalali
Safi sanaaaHahaha
Rais wao ana kula bataa tuu amna jngne
HahahaJela kibaya....nishawahi wekwaupango siku 2 nilipaona parefu kichizi tena nilibambikiwa tu kosa coz sikuelewana lugha na vipolisi uchwara
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pengine alifungwa na khanga kiunoni kama loki asichomoke, kafunguliwa wakati wa studio.. Hatari sana tanga [emoji4] [emoji4]