Makapuku Forum

Makapuku Forum

Abar za jion wakuu of koz leo jaman nataka tujikumbushe kuwa pamoja na kuwa now kuna UKIMWI ambao ni kama kipindi flan ulitisha hvii Nakumbuka kama huko kwetu Iringa miaka ya 90 katkat had mwishon ilikuwa kila baada ya sku mbili , tatu ni msiba
Na tulipoteza ndugu wengi kwel kwel lakin sasa imekuwa ni ki dogo sana na shukran zi eiende ARVs popte ilipo watu wana dunda
 
Sasa miaka ya zamani sana hawakuwa na UKIMWI lakini walikuwa na kitu inaitwa tauni (plague) yalikuwa ni magonjwa ambayo mara nyingi yalisababishwa na panya
Tauni ilikuwa haina tajiri haina maskin , mdogo wala mkubwa , tauni zilikuwa za aina mbali mbali lakin pia ziliua watu wengi
Na kumbuka kipindi hiko masuala ya matibabu yalikuwa nyuma sanaa
Kwa hiyo kila miaka na majanga yake soo........
 
Number 10, Moscow Plague and Riot- 1771
1470764760229.jpg
dalili za tauni hi zilianza kuonekana mwaka 1770 na kwa idadi ya mwanzo watu takriban elfu hamsini na mbili (52,000) walifariki katika kipindi cha mwaka 1770/71 na hii ilikuwa ni idadi ya Moscow pekee, tauni hii ilienea pakubwa kidogo
Sasa kutokana na shda hiii, vyoo na mabafu ya umma yalifungwa, masoko yalifungwa, makanisa yalifungwa
Mlundikano wa uchafu na mlundikano wa watu ulisababusha maafa yawe makubwa zaid na kupeleka mgomo wa wananchi ambao kuna wengine walikamatwa japo baadaye waliachiwa
Hata baada ya mgomk kuisha na huduma kufungulia yapata watu 48,000 zaid walifariki Moscow pekee
Hii ina sadikika ndio ili re shape mji wa moscow kwan kwa miaka miwili at leas wakazi 1/3 wa mji wake wali fariki
Mnamo mwaka 1972 tauni hii iliisha yenyewe
 
Number 9, Great Plague of Marseille1720–1722
1470765474459.jpg
mnamo May 5, 1720, meli kubwa ya kibiashara iliyo itwa Grand Saint Antoine ilitia nanga huko levante ikiongozwa na Captain Jean-Baptiste Chataud, ba baadaye ika unganisha moja kwa moja huko Marseille, japo ilipo tua ilikuwa ina wagonjwa wengi na kuna wa turuki wa wili walikuwa wamefariki na miili yao ilitupwa kwenye maji, mamlaka ya mji ili wakataa abiria walio kuwa kwenye hiyo meli kuingia na ika wapa sehem ya kuwatenga, lakin baadhi ya abiria wali wahonga walinzi na kufanikiwa kuruhisiwa kutoka kwenye kambi hiyo na kuingia town
Na kwa kuwa meli zilibeba vitu vingi zikiwemo bidhaa wale watu waliruhusiwa kwenda kuzichukua kwaajili ya maonesho ya bishara ya Beaucaire
Kilicho fuata.....

Baada ya wiki moja hali ilikuwa ni mbaya , hospitali zili jaa wagonjwa walio kuwa wakitapika damu , waki kohoa mfulilizo na wakitoa mabaka meusi yaliyo vimba, wataalamu wa afya walisgindwa kutoa huduma ilifika sehem wana fariki watu 1000 kwa siku
Wengine waliamua kutoa uhai wao wenyewe kwa kunywa sumu, kujinyonga na kujirusha kwenye kuta mbali mbali kwani wasinge weza kufa kwa mateso kama ya tauni ile, mji ulijaa maiti kwenye kila sehemu yakiwemo makanisa ambako hata watumishi wa Mungu walifariki kwa tauni hiyo na ukosefu wa sehem ya kuzikia ulifanya maiti kutapakaa kila sehemu
Inakadiriwa watu zaidi ya elfu 50,000 wenyeji na elfu 50 wengine wageni walifariki ndani ya miaka miwili
Ki ujmla watu 2/3 ya Marseille walipoteza maisha
 
Number 9, Great Plague of Marseille1720–1722View attachment 378658 mnamo May 5, 1720, meli kubwa ya kibiashara iliyo itwa Grand Saint Antoine ilitia nanga huko levante ikiongozwa na Captain Jean-Baptiste Chataud, ba baadaye ika unganisha moja kwa moja huko Marseille, japo ilipo tua ilikuwa ina wagonjwa wengi na kuna wa turuki wa wili walikuwa wamefariki na miili yao ilitupwa kwenye maji, mamlaka ya mji ili wakataa abiria walio kuwa kwenye hiyo meli kuingia na ika wapa sehem ya kuwatenga, lakin baadhi ya abiria wali wahonga walinzi na kufanikiwa kuruhisiwa kutoka kwenye kambi hiyo na kuingia town

Kwa style hiyo tauni ilikuwa ni zaidi ya Ukimwi aisee
 
Say NO to corruption

............
 
Number 8, Antonine Plague
165 –180AD
1470766498048.jpg
wanajeshi wa Roma walipo rudi kutoka vitani huko vara Asia, wakiwa wana sherehekea ushindi walianza kuonesha dalili tofuti za kiafya na wengi walianza kudhoofu, kwa kutokwa na mapele, matete kuwanga na dalili nyingne za ajab ajabu ambazo wataalamu wa kipindi hiko walidhani huenda ni ugonjwa wa sulua tuu, lakin ugonjwa ulianza kuua kwa kasi kuanzia wana jeshi mpaka wana nchi na ugonjwa ilifika mda ukaua watu wastani wa 2,000 kwa siku
Pia tauni hii iliua wafalme wa wili wa Roma Lucius Verus, alo fariki mwaka 169, na 180, Marcus Aurelius Antoninus, ubaya wa tauni hii ilipotea lakin baada ya miaka 9 ikarudi na kuendelea kuua idadi kama ile ya 2000 kwa siku
Ina kadiriwa tauni hii ili ua karibu nusu yote ya jeshi la Roma na ina kadiriwa takribani vifo milioni tano vya wagonjwa wa tauni hii vili tokea na kuchukua at keast theluthi moja ya watu wa ulaya
 
Number 6, Great Plague of Milan
1629–1631
1470767292180.jpg
naileta kama ilivo hii

The Italian Plague of 1629–1631 was a series of outbreaks of bubonic plague which occurred from 1629 through 1631 in northern Italy. This epidemic, often referred to as Great Plague of Milan, claimed the lives of approximately 280,000 people, with the cities of Lombardy and Venice experiencing particularly high death rates. This episode is considered one of the last outbreaks of the centuries-long pandemic of bubonic plague which began with the Black Death. German and French troops carried the plague to the city of Mantua in 1629, as a result of troop movements associated with the Thirty Years’ War (1618–1648). Venetian troops, infected with the disease, retreated into northern and central Italy, spreading the infection. Overall, Milan suffered approximately 60,000 fatalities out of a total population of 130,000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom