Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Number 8, Antonine Plague
165 –180ADView attachment 378687 wanajeshi wa Roma walipo rudi kutoka vitani huko vara Asia, wakiwa wana sherehekea ushindi walianza kuonesha dalili tofuti za kiafya na wengi walianza kudhoofu, kwa kutokwa na mapele, matete kuwanga na dalili nyingne za ajab ajabu ambazo wataalamu wa kipindi hiko walidhani huenda ni ugonjwa wa sulua tuu, lakin ugonjwa ulianza kuua kwa kasi kuanzia wana jeshi mpaka wana nchi na ugonjwa ilifika mda ukaua watu wastani wa 2,000 kwa siku
Pia tauni hii iliua wafalme wa wili wa Roma Lucius Verus, alo fariki mwaka 169, na 180, Marcus Aurelius Antoninus, ubaya wa tauni hii ilipotea lakin baada ya miaka 9 ikarudi na kuendelea kuua idadi kama ile ya 2000 kwa siku
Ina kadiriwa tauni hii ili ua karibu nusu yote ya jeshi la Roma na ina kadiriwa takribani vifo milioni tano vya wagonjwa wa tauni hii vili tokea na kuchukua at keast theluthi moja ya watu wa ulaya
Hadi wafalme chako
Kweli tauni noma
............
