[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Kero nyekundu.
Hapo ndo tunaonyesha udhaifu wetu ulipo. Hatujui kuchangamkia fulsa.
Hahahaaaa.... Hiyo ni kiboko.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tunakusubiri kwa hamu braza.Nitarudi badae kuleta riwaya hapa..
Sasa hv nko busy.
Nawatakieni siku njema makapuku
Ujumbe mzuri sana asee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nipo London mie.Swahiba yangu mmoja hivi anaishi nyumba moja na wazee ambao ni wazazi wake,
Siku moja alikua yuko uwani anaoga, babaake akambishia hodi kule bafuni akimuuliza,
"Hemedi uko chooni?"
Hemedi akaona sasa mbona mzee ananiuliza swali la kijinga hivi!! ...akamjibu ufedhuli
"Baba mimi niko London, hii sauti yangu waisikia kupitia idhaa ya kiswahili ya BBC",
Baba akamwambia;
"basi nakujulisha kua mkeo ameshika simu yako anasoma massage, anaangalia hadi picha, na mpaka sasa amefungua mdomo na amekodoa macho kwa hayo anayoyaona kwenye simu yako!
Na mimi nimechukua hili taulo ulokua umefunga kiunoni na kikoi uloweka mlangoni ili leo ulale huko huko London na ujifundishe namna ya kuongea na babaako mwehu mkubwa wewe...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nipo London mie.
MkuuHabari ya jioni Makapuku.
Braza aje aje!Hahahaha
Kwema kabisa. Za hukoBraza aje aje!
LeteJaman top 10 inakuja si mda
Ngoja nkaoge kwanza siwez kuleta nmechafuka hvi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni njema sjui weweHabari ya jioni Makapuku.