Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Uliotukuka.Katika ubora wake
Marahabaaaa jimena, hujamboNzuri shikamoo Shululu
Ni poa mrembo, mzma wewe?Niajez
HaswaaaUliotukuka.
Lione likofia km sinia la kukaangia samaki
![]()
![]()
![]()
..........
Lakini sasa wanajifanya wao ndio wamiliki wa duniaNumber 5, American Plagues
16th Century
View attachment 378691 kabla ya kwenda wazungu huko marekani lilikuwa ni bara la giza (giza kweli kweli) pia bara hilo lilikuwa linetengwa na mabara mengine kama afrika, ulaya na Asia amboyo yalikiwa na muingiliano wa kibishara, magonjwa mengi kama vile measles na smallpox tuu yaliwatoa jasho , pia falme nyingi zilianguka na watu walishi kwa kutwanyika kwa mattzo kama hayo tuu
Hata wazungu alipo anza kuingia walipeleka magonjwa yao ambayo wahindi wekundu walishndwa kustahimili na walikufa kweli kweli
Aztec and Inca ambazo zilikuwa ni falme flan amazing zli anguka kwa sababu ya mamilioni ya watu walifariki
Historia inaonesha kuwa hata ugonjwa wa syphilis ulitokea huko na ndo ulipelekwa kwenye bara la ulaya, asia na afrika
Werrason atamaliza hicho chakula kweli
Yule tena, labda humjui tuWerrason atamaliza hicho chakula kweli
Yako poa kabisa, vp mabibo BeachMambo vipi kaka ake Lulu mapepe 7
![]()
![]()
![]()
.......
Nasikia USA baby anaeneza tauni hapa JF apigwe tu banNumber 5, American Plagues
16th Century
View attachment 378691 kabla ya kwenda wazungu huko marekani lilikuwa ni bara la giza (giza kweli kweli) pia bara hilo lilikuwa linetengwa na mabara mengine kama afrika, ulaya na Asia amboyo yalikiwa na muingiliano wa kibishara, magonjwa mengi kama vile measles na smallpox tuu yaliwatoa jasho , pia falme nyingi zilianguka na watu walishi kwa kutwanyika kwa mattzo kama hayo tuu
Hata wazungu alipo anza kuingia walipeleka magonjwa yao ambayo wahindi wekundu walishndwa kustahimili na walikufa kweli kweli
Aztec and Inca ambazo zilikuwa ni falme flan amazing zli anguka kwa sababu ya mamilioni ya watu walifariki
Historia inaonesha kuwa hata ugonjwa wa syphilis ulitokea huko na ndo ulipelekwa kwenye bara la ulaya, asia na afrika
Tunaendelea kukesha vigodoroYako poa kabisa, vp mabibo Beach
Mi ni mzima sana, nipe mpyaNi poa mrembo, mzma wewe?
Huyo ndio maana hanenepi, Chakula cha watu 4 anakula peke yake
Eti chura kwa kumtazama yupoje? kachuchumaa, kainama au kasimama?Mini mzima sana, nipe mpya
Utasikia wanaume wa Mikoani hasa kanda ya ziwa.Huyo ndio maana hanenepi, Chakula cha watu 4 anakula peke yake