Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Hivi huwa wanafanya uchaguzi kweli hao wacameronHahahaha
Rais wa kudumu
Unajua unapoishi mafichoni sio sawa na unavyokuwa huru?Nooo hata 50 hawezi kuwa amefika
Atakuwa na 47,48Nooo hata 50 hawezi kuwa amefika
YesHivi huwa wanafanya uchaguzi kweli hao wacameron
Mi sikapendi kweli, hivi kuna uwezekano wa yeye kupinduliwa kweli??Dogo anaroho mbaya. Uchwara anaigiza.
Kama Asano Takeisusa kasuswa km jina lake
![]()
![]()
![]()
........
Sijui hili bara nani aliliroga?Wanawake hawarihusiwi kuvaa bras
Huko ni shda
Hahahah
Hao ndo viongozi mamaMi sikapendi kweli, hivi kuna uwezekano wa yeye kupinduliwa kweli??
Naonaga yule dogo ni zaidi ya Hitler
Kuna wakati bora ukae kintinku kuliko kuwa Somalia, hata kikazi tu hapanaWanawake hawarihusiwi kuvaa bras
Huko ni shda
Hahahah
HahahaaSijui hili bara nani aliliroga?
Ni ngumu sana kumpindua.Mi sikapendi kweli, hivi kuna uwezekano wa yeye kupinduliwa kweli??
Naonaga yule dogo ni zaidi ya Hitler
Kuna wakati bora ukae kintinku kuliko kuwa Somalia, hata kikazi tu hapana
Hakuna maendeleo yoyote tupotupo kazi kuuana.Hahahaa
Inategemeana na mtazamo wengine huna ni sawa tuu
HahahahaHakuna maendeleo yoyote tupotupo kazi kuuana.