Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Silali leoTega macho.
Silali leoTega macho.
ThanksNooo
I was just warnin u
ghafla KanumbaNa wewe umenikumbusha lulu
Kwa speeed hii inawezekana80k naiona leo leo
Eeeh mbaba
Hugo ChavezUmemsahau na komredi Fidel Castro.
Mi nikiwa mmoja waoKuna wanaoamini jamaa hajafa
Mcheza kwao.
Sasa midomo hapo lazima inukeWanakula kubel hao balaa, kero yao kutema mate mpaka kinyaa
Pole, usiwe unamaliza akibaMate yamenitoka ghafla.
Njoo utembee siku.Ooh hapo sawa
Mungu ampumzishe kwa amaniHugo Chavez
3/4 ya mwaka huwa anakula bata Ufaransa, Rais wa CameronKuna watu wana uroho wa madaraka, tatizo linaanzia hapo.
Unamfahamu Paul Biya?
Kipendacho roho hula nyama mbichi.Tatizo we nae hujui kuchagua
Hao ni miongoni mwa viongozi shupavu walioweza kuhimili vishindo vya nchi za Magharibi.Teh teh umijuaje!!?
Kweli unamjua vizuri
Huyo mjanjaKaka yangu ana jiitaga aka makaveli hahaha et ana muenzi mkuu 2pac
Hahahaha3/4 ya mwaka huwa anakula bata Ufaransa, Rais wa Cameron