Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Kwahiyo ni elimu uchwara?Hakunaga elimu ya BURE, ukisoma bure zaid unapoteza muda ambao ni ghali zaidi
Kwahiyo ni elimu uchwara?Hakunaga elimu ya BURE, ukisoma bure zaid unapoteza muda ambao ni ghali zaidi
Kweli mkuuuKipendacho roho hula nyama mbichi.
Niacheni na kudwi wangu
Nooo hata 50 hawezi kuwa amefikaIla hata kama hajafa kashakuwa Mzee huko mafichoni.
Kama Daudi Ballali
SafiHao ni miongoni mwa viongozi shupavu walioweza kuhimili vishindo vya nchi za Magharibi.
Yaap. Huko marufuku kucheza mpira.Somaliland
AaahHuyo mjanja
Balaa sana Hao JamaaSasa midomo hapo lazima inuke
Jioni ipi sasaFix zipo jioni
......................
Alithubutu vya kutosha. Pia kuna Mugabe kwa AfrikaMungu ampumzishe kwa amani
Kamanada Cahavez
Swadaktaaaa...ana miaka kama 30 madarakani na wala hashtuki3/4 ya mwaka huwa anakula bata Ufaransa, Rais wa Cameron
Fanya hivyo basiInawezekana kubadilisha
Pamoja sana
Hahaha...ile thread yao waliyoigeuza kuwa Bendi kwa kuitana majina bado ipo?
susa kasuswa km jina lake
pamojasana.
Wanawake hawarihusiwi kuvaa brasYaap. Huko marufuku kucheza mpira.
Mwanaume kama huna ndevu unauliwa.
KutambaringKesho ni miezi minne ya KF .....kila mtu aweke bando kesho tufanye fujo
![]()
![]()
![]()
.........
Rais wa Maisha.Hahahaha
Rais wa kudumu