Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama unaitwa David..
Halaf demu wako kakutumia msg kua yupo hosptal kalazwa na anadai umtumie hela... my friend David huo ni uongo maana kuna dem nipo nae hapa kwnye daladala ndo ameandika iyo msg yani sio mgonjwa.
Ninakushtua tu mshikaj wangu watu kusaidiana..
Tuma na kwingine tumsaidie David asipigwe mzinga..

Hahaha...unakaba mpk offside.
 
Apigwe tu hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom