Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
ndio nilienda ila ni San Fransisco ya Kitunda relini.Hahahaha
Wewe nime kusoma kweli ulenda
ndio nilienda ila ni San Fransisco ya Kitunda relini.Hahahaha
Wewe nime kusoma kweli ulenda
[emoji28]Sio kuzuri kihiiivyo ila napapenda
Walatino wana raha yake
Ile lugha yao (spanish) nayo ni tamu sana
Pia napenda ule utamaduni wao, vile ukigonbana na bebi wako anakuletea bendi sa nyingine na yeye anavaa yale makofia yao .... Kisha wanakumbia mpaka unasamehe
Unatoka nje yanaisha[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Alikiwa anakikuza.
Eti ni kweli kiwa hawavaagi chu.pi?Ni mwendo wa vitambaa tu
HahahaWeka picha
Ubabe wa yule dogo mi siuwezi[emoji119] [emoji119]Karibu Piongyang. Huku ni marufuku kuvaa jeans wala kunyoa panki.
Tokyo zipo sehemu nyingi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
We mwenyewe umejua tuta bisha tuu
Basi sawaMi ndo nakwambia sasa
Sio ya kigamboniIla ni hii San Fransisco ya Kitunda.
Mkamia maji hayanywi.Safi likofia likubwa..
Naona unaendeleza ule uchawi wako wa kitupia post muhimu mara kwa mara.
But hongera kwa kutupia post ya 70k tukutane kwenye 80k maana nitaiwania
Jinga lina sekunde tuuuHayana neno, ntaenda siku 4 tu
Halafu naomba siku utuwekee majiji makali zaidi dunianiAaa
Nikileta vitu mbavo vijua sasa hiyo itakuwa si top 10
Suprise ndo kama hzo [emoji23]
hahaha...kitu pekee ninachopenda toka Dom ni Dodoma wine.Nilicheka sana wakati nipo Dodoma, Jamaa yangu akawa anasema kisasa itakuwa masaki ya Dodoma
Haikuhusu we ndezi huko siyo MbeziWeka picha
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Cc; Szczesny
Karibu[emoji4] [emoji4]Ahsante my top, my everything, my all [emoji4]
Licha ya bara lao kuwa kubwa na kuonekana wanazaana sana lakini sisi Africa tumewazidi kwa wingi wa watu.Wapitishieni elimu ya uzazi wa mpango mwe!! Maana rekodi yao inatisha
Siwezi hataUsije ukabadili username
..........
[emoji23] [emoji28] [emoji15] [emoji22]ndio nilienda ila ni San Fransisco ya Kitunda relini.