Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Hapo nmekielewa sasaIla ni hii San Fransisco ya Kitunda.
Hapo nmekielewa sasaIla ni hii San Fransisco ya Kitunda.
Huwa wanafanya mchana tu, usiku ni kulala tuWako vizuri sana kwenye migegedo.
Mke wake ni very modern yaanUbabe wa yule dogo mi siuwezi![]()
![]()
Ye anataka kunyoa panki peke yake na halimpendezi
Afadhali wife wake anaridhisha
Makali!! Kiaje!!?Halafu naomba siku utuwekee majiji makali zaidi duniani
Sisi mtu mmoja ana watoto 17Licha ya bara lao kuwa kubwa na kuonekana wanazaana sana lakini sisi Africa tumewazidi kwa wingi wa watu.
Iko sahihi hapo?
hahaha...Siwezi hata
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ina maana wameshamaliza meno yote hvyo amebaki mapengo tu..!
Maana nimewawahi la sivyo mngesema mambo ya weka picha.Hapo nmekielewa sasa
Nakwambiaje.. hii naitegeshea alarm ya saa 03:00 usikuMkamia maji hayanywi.
Hiyo 80k ni ya kwangu maana najua wengi mtalala.
Leo kuna sapraizi nitaifanya ili niichukue kiulaini.
#80k

Vipi sisi Waafrika?Huwa wanafanya mchana tu, usiku ni kulala tu
Mimi nitakuwa macho tuMkamia maji hayanywi.
Hiyo 80k ni ya kwangu maana najua wengi mtalala.
Leo kuna sapraizi nitaifanya ili niichukue kiulaini.
#80k
Cheki box lakoMaskini kaka ake yupo hapa.
![]()
![]()
![]()
.........
Naona umejihami mapemaMaana nimewawahi la sivyo mngesema mambo ya weka picha.

Mbona mbali sana huko?Nakwambiaje.. hii naitegeshea alarm ya saa 03:00 usiku
Ili mkoamka asubuhi mkute mshatambariiing hapa ile mbayaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Cc ; Jimenahahaha...kitu pekee ninachopenda toka Dom ni Dodoma wine.
Ukinisaidia kuyimiza malengo yanguMimi nitakuwa macho tu
Ya kigamboni nalima mapapaiSio ya kigamboni
Mbuzi kwenye kirobaHaiaminiki
..
......