Sikuwa najua kuwa watu wanazamia hadi ChinaNumber 3, Guangzhou (Canton), China(24.200.000)View attachment 378104 likiwa ba watu milioni 24 jiji hili lili anzishwa miaka takriban 2,200 iliyo pita na ni mji wenye masoko, viwanda na starehe za kila namna pia ni jiji la tatu kwa ukubwa huko China na limekuwa kwa kasi kwa kuwa ni sehem pekee china ambayo wafanya bishara wa kigeni hushauriwa kuwekeza pia haina mikazo sana kwa wahamiaji haramu ambao wengia miaka ya 2000- 2014 wali mwagika kwa kasi zaid
WalainiWazee wa pumjapu
Ni kweli kabisaMaisha bora
...........
NDIO tumeshinda...Nasikia Kimba Sc kashinda 3 na yule mchezaji wao mpya anayeitwa Mifugo kang'aa
...........
Wanatumia 6G au?? Maana karibu dunia yote iko 5GNumber 2, Seoul, South Korea (24.400.000)View attachment 378108 watu milion 24.4
Likiwa lina wastan wa watu 17,800 kwa kilomuta za mraba ni moja ya jiji lenye mlundikano wa watu zaid duniani, Pia ndio jiji zuri kuliko yoite dunuani.
Inakadiriwa kuwa karibia kika sehem ya korea kuna kitu inacho endeshwa na IT na asilimia 95,ya nyumba za watu wa seoul zina accecss ya wireless broadband
Ni mji ambao mtandao wa internet unashika kwa kasi kuliko mji wowote duniani
Pia airport ya jiji hilo, vyakula , sehem xa starehe na mapumziko
Bila kushahu wasichana bomba(wengi wakiwa wamefanyiwa oparesheni na kutumia dawa za wachina kupendeza) pia ni sehem ambayo watu huparty sana kwa mwendo wa kila siku
Hapo ndo kwanza ana miezi 6 tokea azaliweKitoto kimezeeka
Japan imetisha vibaya, ni moja kati ya nchi ambazo ziko kwenye ratiba yanguNumber 1, Tokyo, Japan (34.000.000)View attachment 378112 watu milioni 34, yaan hapa ndo watu ni shida jiji hili lina mamlaka za kanda maalum 23, mamlaka za manispaa 26, mamlaka za miji 8 na serikali za vijiji 5,
Na hao ndo wababe wetu wa kujaza watu kwenye majiji
Mmmh mpeleke kituo cha kulelea watoto,Hapo ndo kwanza ana miezi 6 tokea azaliwe
WajeeeeeThanks nadhan kumbe tunaweza kuwakaribisha watu dsm bado na jiji halija jaa
Ama neneee!!!
Hii inamuhusuAcha umbea...kukosea kupo
.............
Relax mkuu...Si unaona umekiamsha kikapuku uchwara kimeanza chokochoko bora usingekileta tu
..............