Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Nane nane iko poa ndo nimerudi nyumbani mida hiiKaribu, habari za 8-8
Wewe je siku imeendaje?Karibu, habari za 8-8
KarbuNane nane iko poa ndo nimerudi nyumbani mida hii
Imeenda vizuriWewe je siku imeendaje?
We mkarimu sanaaKarbu
Jimena usinifikirie vibaya najua hiyo ni dedication yako sema hiyo ni track moja kali sana ambayo naikubali sana Sasa Szczesny mwambie Jimena asikilize na Ya "Us against the World" ya hao hao Westlife...
ni hatari. unaweza liaMgonjwa vipi hali yake?Nane nane iko poa ndo nimerudi nyumbani mida hii
Anaendelea vizuri ana itilafu kidogo tu kwenye uti wa mgongo sio hatari sana maana amewahi matibabu.Mgonjwa vipi hali yake?
Ok, hata hivyo huu ndo wakati wake sasaWeka ile riwaya basi ya Mpango wa kando
WooouwJimena usinifikirie vibaya najua hiyo ni dedication yako sema hiyo ni track moja kali sana ambayo naikubali sana Sasa Szczesny mwambie Jimena asikilize na Ya "Us against the World" ya hao hao Westlife...ni hatari. unaweza lia
Sweetie eeeeDaaaaah...ntalia mimi sasa hivi na huo wimbo![]()
Mzuri huo wimbo haswaa pale unavyoanza.Sweetie eeee
Mbona ushuz tena

Wala usikonde kabisa,Jimena usinifikirie vibaya najua hiyo ni dedication yako sema hiyo ni track moja kali sana ambayo naikubali sana Sasa Szczesny mwambie Jimena asikilize na Ya "Us against the World" ya hao hao Westlife...ni hatari. unaweza lia
KweliWe mkarimu sanaa
Safi sanaWooouw
There you are yaan unagusa mule mule kwenye hisia zangu zna tembea
Usjali jimena ni muelewa sana
Good newz thenAnaendelea vizuri ana itilafu kidogo tu kwenye uti wa mgongo sio hatari sana maana amewahi matibabu.