Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Bila shaka huyo jirani yako ni sheHahahaha
Hiyo yahusika
Nikiwa nmefurah naimba
Nkiwa stressed naimba
Nikiwa na mtu nlo mzoea,naimba (kuna jiran apa uwa namuimbia)
Hahahaha
Hiyo yahusika
Nikiwa nmefurah naimba
Nkiwa stressed naimba
Nikiwa na mtu nlo mzoea,naimba (kuna jiran apa uwa namuimbia)

Baada ya wewe kuwa busy na mgonjwa.Hiiiiiiii!!
Safari mli ilazimisha nyie
Tena ana mpaka pattern za simu yakeBila shaka huyo jirani yako ni she
Gari nimeielewa
Si mpaka arudi sasa na asiporudi vepeAkikuta yaliyomo hayamo itakuwaje![]()
![]()
![]()

Unatumia vigezo vipi kupima ubora?Sio kutambia. Arsenal ni timu bora sana
Weka ile riwaya basi ya Mpango wa kandoKumbe anajua ku-pull trigger tu!
Basi km ni hvyo bhass kombe asahau
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mmmmmmh!Baada ya wewe kuwa busy na mgonjwa.
AaaahTena ana mpaka pattern za simu yake
Kivipi sasa?Aaaah
Ume ni mis understand hapo my lady
Hii mipango ilianza wakati jirani aliponyang'anya simu ukapotea mwezi mzima kama sio siku kadhaa ila iliishia hewani uliporejea salamaMmmmmmh!
Mlianza leo kwan hiyo mipango!!!
Hii mipango ilianza wakati jirani aliponyang'anya simu ukapotea mwezi mzima kama sio kadhaa ila iliishia hewani uliporejea salama
Sasa imechukua sura mpya baada ya wewe kuanza kuuguza

Mkongo weee...
Nani arudi?Si mpaka arudi sasa na asiporudi vepe![]()
![]()

....werrason signing outMkongo weee...
Habari hospital?
Anajua kama Kuna hospitalMkongo weee...
Habari ya hospital?
?