shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mpaka kesho watakuwa wameishamtangazaSafi sanaa..
Hivi kuhusu huu uhamisho wa Pogba unadhani tutafanikiwa kwel?
Mpaka kesho watakuwa wameishamtangazaSafi sanaa..
Hivi kuhusu huu uhamisho wa Pogba unadhani tutafanikiwa kwel?
S.E.R.I.O.U.SNi Kwel mkuu...?
Kama ni hvyo itakuwa ni furaha sana kwetu
HayaJaman ngoja ninywe chai ntarud si mda
![]()
![]()
Embu niwekee source hapa km hautajaliS.E.R.I.O.U.S
.........................
Embu niwekee source hapa km hautajaliS.E.R.I.O.U.S
.........................
MshikaYule mpinzani wetu, hvyo tunamuombea naye heri pia.
Japo apate hata EPL
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Thawa baba naniiiJaman ngoja ninywe chai ntarud si mda
![]()
![]()
Anamuimbia bae tuAu wewe ndo yule unayeimbaga bafuni ukiwa unaoga
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe anajua ku-pull trigger tu!Mshika![]()
![]()

Safari hii mtakiona cha mtema 10 timu yetu imekuwa tamu sanaMpaka kesho watakuwa wameishamtangaza
Angalau mjisikie mnashabikia timu, Kuna watu walisusa kabisa kuangalia man uSafari hii mtakiona cha mtema 10 timu yetu imekuwa tamu sana
Embu niwekee source hapa km hautajali
Mmmh hizi sasa ni fixAngalau mjisikie mnashabikia timu, Kuna watu walisusa kabisa kuangalia man u
We nae mpambeee
Nikienda ntaaga hapa jamvini na picha zitahusika hivyo relax

Msimu uliopita ulishika no ngapi, mwaka juzi je?Mmmh hizi sasa ni fix
Hivi jamani kati ya Man United na Arsenal nani alikuwa wa ovyo zaidi kipindi kilichopita? Maana kwa kumbukumbu zangu ni 2004 ndio mara ya mwisho kwa vijana na wenger kutwa ubingwa wa maana