Hao wame divert mada mie nlikuwa naongelea vile napenda kuimba tuuuKivipi sasa?
Nasikia anamsindikiza swaiba wakeAnajua kama Kuna hospital?
NaelewaNasikia anamsindikiza swaiba wake
Kumbuka swaiba wa mtu anauguliwa
Hii mipango ilianza wakati jirani aliponyang'anya simu ukapotea mwezi mzima kama sio siku kadhaa ila iliishia hewani uliporejea salama
Sasa imechukua sura mpya baada ya wewe kuanza kuuguza
Mhhhhh haya weHao wame divert mada mie nlikuwa naongelea vile napenda kuimba tuuu
Sasa umefungukiwa aisee![]()
![]()
![]()
Daaah
Nashndwa hata cha kusema yaan
Ila inumaaaa.......
Napenda kukuimbia na wewe jimena wanguMhhhhh haya we
Watu na jirani zao

Asa kuuguza mtu et ni shda jamanSasa umefungukiwa aisee
Basi yameisha sasa.![]()
![]()
![]()
Daaah
Nashndwa hata cha kusema yaan
Ila inumaaaa.......
Leo uweke upande wako tujueBasi yameisha sasa.
Safari haitakuwepo tena