Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Hapo bado hujasema kuwa lini yatakuwa tayariUkirudi utayakuta usjali
Yule wetu tayar hata sina was wasSafi sanaa..
Hivi kuhusu huu uhamisho wa Pogba unadhani tutafanikiwa kwel?
Nae ataHamnaa ntamuimbia wimbo wa da prince
Ila mi siachani naweee...
Na sishindani nawe.....
Maana uko moyoni........![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mnampenda sana Wenger
Kila kitu tyr ...yupo Manchester for medicalSafi sanaa..
Hivi kuhusu huu uhamisho wa Pogba unadhani tutafanikiwa kwel?
Inauma sanaaaa.......![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huu sasa wivu wakati hata safari yenyewe bado.
Anyway vipi mgonjwa anaendeleaje lakini??
Yani yule akija pale basi sisi level zetu itakuwa ni kna Barcelona na Real madrid ndo tunafukuzana naoYule wetu tayar hata sina was was
Kama hela zipo kwa nn tusi tumie
Itakuwa kinyamweziChanika sehemu gani?
We usjali utayakuta tuuHapo bado hujasema kuwa lini yatakuwa tayari

Mi najua maneno ya kuhusu kumshinda mbuzi.....huwa situkanagi kamweMm nlichokuwa nakoseaga ni kuwa akishaniletea ujinga wake huwa nlikuwa namtukana live ndo mana ikawa vile
Kila kitu tyr ...yupo Manchester for medical
.........
Ni Kwel mkuu...?Yule mpinzani wetu, hvyo tunamuombea naye heri pia.Mnampenda sana Wenger

Sasa inakuuma vipi wakati safari yenyewe bado na ruhusa ulitoa mwenyewe jamani?Inauma sanaaaa.......
Sjenda ndo nafanya utaratib twende na bwana mkongo
Bila kuwasahauNiko vzuri nawajua wote mula
Kina
Mussolin5
Herera
Balo
Jonax
Everlenk
Th name
Guasa amboni
Boyfriend
.watu kibaooo tuuuuu pale
Au wewe ndo yule unayeimbaga bafuni ukiwa unaogaNoo i love music
I sing (alone lakin)![]()
![]()
