Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Aug 7, 2016 #77,741 Bitoz said: Huyu ni msichana siyo mama Muulize ishu za rede ........... Click to expand... hahahah...
Bitoz said: Huyu ni msichana siyo mama Muulize ishu za rede ........... Click to expand... hahahah...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Aug 7, 2016 #77,742 Jimena said: Huenda ni kweli kabisa, Mi mtoto wangu atakuwa anakula oatmeal na vyakula vingine tu Mi sipendi uji hivyo na yeye siwezi mpa kitu ambacho mama yake sikipendi Click to expand... Utakuwa Mama wa Mwendokasi.
Jimena said: Huenda ni kweli kabisa, Mi mtoto wangu atakuwa anakula oatmeal na vyakula vingine tu Mi sipendi uji hivyo na yeye siwezi mpa kitu ambacho mama yake sikipendi Click to expand... Utakuwa Mama wa Mwendokasi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 7, 2016 #77,743 Mussolin5 said: Utakuwa Mama wa Mwendokasi. Click to expand... Hata mi naona hivyo. Ila uji sio lazima
Mussolin5 said: Utakuwa Mama wa Mwendokasi. Click to expand... Hata mi naona hivyo. Ila uji sio lazima
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Aug 7, 2016 #77,744 78k is around the corner. Usicheze mbali unga robo. cc Jimena @qiugley
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 7, 2016 #77,745 Mussolin5 said: 78k is around the corner. Usicheze mbali unga robo. cc Jimena QUIGLEY Click to expand... Oh yes ila sidhani kama ntaiwahi maana kuna mahali naenda
Mussolin5 said: 78k is around the corner. Usicheze mbali unga robo. cc Jimena QUIGLEY Click to expand... Oh yes ila sidhani kama ntaiwahi maana kuna mahali naenda
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,253 Aug 7, 2016 #77,746 Jimena said: Oh yes ila sidhani kama ntaiwahi maana kuna mahali naenda Click to expand... Sawa ngoja nitakutunzia.
Jimena said: Oh yes ila sidhani kama ntaiwahi maana kuna mahali naenda Click to expand... Sawa ngoja nitakutunzia.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 7, 2016 #77,747 No Moooo Moooooooo Ng'ombe FC mpo? ..........
C cma Member Joined Jul 22, 2016 Posts 42 Reaction score 27 Aug 7, 2016 #77,748 Jimena said: Karibu Uwe huru kupost na kuchangia mada zilizo mezani Click to expand... Ahsante
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 7, 2016 #77,749 Bwana asifiwe Jumapili njema ............
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,020 Aug 7, 2016 #77,750 Hodi humu! Habari zenu wakuu?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,751 Jimena said: Kumbe mbali kiasi Click to expand... Mbali sana
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,752 Sweetiepie said: Good morning Makapuku wenzangu!! Click to expand... Morning, mbona umepotea hivyo?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,753 Jimena said: View attachment 377246View attachment 377247View attachment 377248 Kwa hisani ya fix za Bitoz sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu Ciao Click to expand... Asante sana kwa magazeti ya leo
Jimena said: View attachment 377246View attachment 377247View attachment 377248 Kwa hisani ya fix za Bitoz sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu Ciao Click to expand... Asante sana kwa magazeti ya leo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,754 Mussolin5 said: Naona habari ya mjini ni Ukuta. Safi sana Click to expand... Serikali Wamenyoosha mikono,kwani hawana askari wa kutosha nchi nzima
Mussolin5 said: Naona habari ya mjini ni Ukuta. Safi sana Click to expand... Serikali Wamenyoosha mikono,kwani hawana askari wa kutosha nchi nzima
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Aug 7, 2016 #77,755 Jimena said: Poa sanaaa Click to expand... Yule mtu sio kingongo bhana nimefuatilia jukwaani ni kapuku tu
Jimena said: Poa sanaaa Click to expand... Yule mtu sio kingongo bhana nimefuatilia jukwaani ni kapuku tu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Aug 7, 2016 #77,756 Mussolin5 said: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar. Click to expand... Japo mabomu ya mbagala ndo matukio mabaya zaidi kwa dar
Mussolin5 said: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar. Click to expand... Japo mabomu ya mbagala ndo matukio mabaya zaidi kwa dar
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,757 Mussolin5 said: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar. Click to expand... Hata mipakani kulikuwa na shida sana ya kuvuka, nakumbuka sisi tulikuwa sirali, safarini kwenda dar kupitia Nairobi, ilikuwa ni shida
Mussolin5 said: Moja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar. Click to expand... Hata mipakani kulikuwa na shida sana ya kuvuka, nakumbuka sisi tulikuwa sirali, safarini kwenda dar kupitia Nairobi, ilikuwa ni shida
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Aug 7, 2016 #77,758 Mussolin5 said: Katibu mkuu ( Kim nana ) angeishi huko angekuwa tajiri sana. Click to expand... Hahahaaa
Mussolin5 said: Katibu mkuu ( Kim nana ) angeishi huko angekuwa tajiri sana. Click to expand... Hahahaaa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Aug 7, 2016 #77,759 Mussolin5 said: Kuna gazeti hapo linasema akina mama wengi hamjui kupika uji wa watoto, Je ni kweli JJ? Jimena Click to expand... Sidhani kama jimena ana mtoto
Mussolin5 said: Kuna gazeti hapo linasema akina mama wengi hamjui kupika uji wa watoto, Je ni kweli JJ? Jimena Click to expand... Sidhani kama jimena ana mtoto
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 7, 2016 #77,760 Bitoz said: Kila mtu mbiooooo katikati ya jiji Hatujazoea mabomu ingekuwa Somalia watu wangeendelea na starehe zao tu ........... Click to expand... Au Burundi, wanasema hilo halituhusu sisi ni kwenda shamba tu
Bitoz said: Kila mtu mbiooooo katikati ya jiji Hatujazoea mabomu ingekuwa Somalia watu wangeendelea na starehe zao tu ........... Click to expand... Au Burundi, wanasema hilo halituhusu sisi ni kwenda shamba tu