Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Huyu ni msichana siyo mama
Muulize ishu za rede
![]()
![]()
...........
We kauzu sana.....nimependa hii
Huyu ni msichana siyo mama
Muulize ishu za rede
![]()
![]()
...........
We kauzu sana.....nimependa hiiNjema mkuu, karibu KFHodi humu! Habari zenu wakuu?
Oatmeal bongo ni ya shida labda ubakie hukohukoHuenda ni kweli kabisa,
Mi mtoto wangu atakuwa anakula oatmeal na vyakula vingine tu
Mi sipendi uji hivyo na yeye siwezi mpa kitu ambacho mama yake sikipendi
Sweetiepie wajiskiaje kuwa kf mamyNilitingwa na mambo ya hospitali kidogo mkuu, kumpeleka sister maana anaumwa.
Yalinikosa kosa baby, sitaisahau ile siku... Ile siku nilikuwa Mbagala kizuiani kwa wifi angu.. Hatari sana.Japo mabomu ya mbagala ndo matukio mabaya zaidi kwa dar

Karibu mkuuHodi humu! Habari zenu wakuu?
Asante sana mkuu.Njema mkuu, karibu KF
Asante sana.Karibu mkuu
Pole honeyYalinikosa kosa baby, sitaisahau ile siku... Ile siku nilikuwa Mbagala kizuiani kwa wifi angu.. Hatari sana.
Najisikia vizur pako free sana hadi raha...Sweetiepie wajiskiaje kuwa kf mamy
Kuna raia anaitwaPatience123 humu hebu msalimieNajisikia vizur pako free sana hadi raha...
Mambo niaje Patience123 uko poa wewe?Kuna raia anaitwaPatience123 humu hebu msalimie