Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Taifa la temboKwakina Didie Lugoba
.......
Taifa la temboKwakina Didie Lugoba
PoleniSiku mbili hizi nilikuwa nampeleka sista hospitali kufanyiwa vipimo anaumwa.
pole sana mkuuSiku mbili hizi nilikuwa nampeleka sista hospitali kufanyiwa vipimo anaumwa.
"Abebe Bikila" angekuwa shule tungemtania sanaKuna yule jamaa wa Efm anajiita Bikira wa Kisukuma.
Poa sanaaaJimena wetu, mambo!
Naona habari ya mjini ni Ukuta. Safi sanaView attachment 377246View attachment 377247View attachment 377248
Kwa hisani ya fix za Bitoz sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Ciao
Hofu ilitawala dar sanaHii siku Naikumbuka vizuri sana Mama alinifata shule nirudi nyumbani
Halafu wenyewe hawataki hata kusikia kuhusu UKUTANaona habari ya mjini ni Ukuta. Safi sana
Usiniambie ulikuwa primaryHii siku Naikumbuka vizuri sana Mama alinifata shule nirudi nyumbani
Moja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar.Hilo bomu ubalozini na kumbuka ilikuwa noma sana japo kipindi hicho nilikuwa dogo
![]()
![]()
![]()
......
.
Katibu mkuu ( Kim nana ) angeishi huko angekuwa tajiri sana.Taifa la tembo
.......
Kila mtu mbiooooo katikati ya jijiMoja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar.
Huenda ni kweli kabisa,Kuna gazeti hapo linasema akina mama wengi hamjui kupika uji wa watoto, Je ni kweli JJ? Jimena
Asante sanapole sana mkuu
AsantePoleni
Nilitingwa na mambo ya hospitali kidogo mkuu, kumpeleka sister maana anaumwa.Morning
Mbona ulipotea?
.........
Jina limekaa kiutata sana."Abebe Bikila" angekuwa shule tungemtania sana
![]()
![]()
![]()
.......