Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
hahahah...Huyu ni msichana siyo mama
Muulize ishu za rede
![]()
![]()
...........
hahahah...Huyu ni msichana siyo mama
Muulize ishu za rede
![]()
![]()
...........
Utakuwa Mama wa Mwendokasi.Huenda ni kweli kabisa,
Mi mtoto wangu atakuwa anakula oatmeal na vyakula vingine tu
Mi sipendi uji hivyo na yeye siwezi mpa kitu ambacho mama yake sikipendi
Hata mi naona hivyo. Ila uji sio lazimaUtakuwa Mama wa Mwendokasi.
Sawa ngoja nitakutunzia.Oh yes ila sidhani kama ntaiwahi maana kuna mahali naenda
AhsanteKaribu
Uwe huru kupost na kuchangia mada zilizo mezani
Mbali sanaKumbe mbali kiasi![]()
Morning, mbona umepotea hivyo?Good morning Makapuku wenzangu!!
Asante sana kwa magazeti ya leoView attachment 377246View attachment 377247View attachment 377248
Kwa hisani ya fix za Bitoz sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Ciao
Serikali Wamenyoosha mikono,kwani hawana askari wa kutosha nchi nzimaNaona habari ya mjini ni Ukuta. Safi sana
Yule mtu sio kingongo bhana nimefuatilia jukwaani ni kapuku tuPoa sanaaa
Japo mabomu ya mbagala ndo matukio mabaya zaidi kwa darMoja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar.
Hata mipakani kulikuwa na shida sana ya kuvuka, nakumbuka sisi tulikuwa sirali, safarini kwenda dar kupitia Nairobi, ilikuwa ni shidaMoja kati ya matukio ya kukumbukwa Mchana wa siku ile palikuwa hapatoshi Jijini Dar.
HahahaaaKatibu mkuu ( Kim nana ) angeishi huko angekuwa tajiri sana.
Au Burundi, wanasema hilo halituhusu sisi ni kwenda shamba tuKila mtu mbiooooo katikati ya jiji
Hatujazoea mabomu ingekuwa Somalia watu wangeendelea na starehe zao tu
![]()
![]()
![]()
...........