shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kahama iko vizuri sanaKesho ntafika kuchungulia huko mana naambiwa huko ni zaidi ya hapa shinyanga mjini
Kahama iko vizuri sanaKesho ntafika kuchungulia huko mana naambiwa huko ni zaidi ya hapa shinyanga mjini
KaribuMe mgen Jf naomba maelekezo
Ndio. Nusu yangu ni hukoUna uhusiano na bunda?
Sema tu haina magorofa mengi kama ShyKesho ntafika kuchungulia huko mana naambiwa huko ni zaidi ya hapa shinyanga mjini
Anzia singida, tabora na shinyanga kote kumezubaa tuMi huwa naona shinyanga, Tabora kote ni ovyo sana
Hahahaha we na mcongo hamna tofauti kwa upambeHizo point za kuchukua
Same to youGoodnight family
Nite niteGoodnight family
Goodnight family
Usiku mwema wote
Mlale unonoKesho ni
Leicester vs Man Utd
USIKU MWEMA
............................
Kimtindo, kama leo nimejikuta naenda mpaka mwanza ndo nimerudi jioni hiiUtarudi umekonda basi